Imebidi nicheke tu 😂Unatembea unanuka mævï!Muone kwanza.
Stupidity.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Weka walau kapicha kamojaHabarini!
Kuna hili suala la mavazi hasa kwenye majiji, manispaa na miji ya hapa Tanzania na nchi karibu zote duniani. Vijana wengi sasa wakitembea barabarani ili ujue jinsia zao basi itakubidi utazame kifuani au sehemu zingine za miili yao ndipo utajua huyu ni msichana au mvulana na si mavazi pekee.
Kama suruali zao zinafanana, pensi pia zinafanana, t-shirts zinafanana, na wakati mwingine mpaka vikanyagio(viatu) vinafanana.
Hair style inafanana. Wengine wanajipodoa uso ingawa huita scrub ili kuhalalisha upuuzi.
Duuuuhhh, vijana wenzangu Mungu anawaona .
Kwahy unataka kusema hakuna vijana wa kiislamu wanaovaa hivyo????Uislamu ukipiga kelele uvaaji wenu wa mavazi mnatoa povu, haya sasa mnamlaumu nani hapo! Uislamu unafundisha maadili mema nduguzanguni
Kwahy unataka kusema hakuna vijana wa kiislamu wanaovaa hivyo????
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe umeona tanzania.mbona tanzania wanajisitili.zunguka nchi za watuHabarini!
Kuna hili suala la mavazi hasa kwenye majiji, manispaa na miji ya hapa Tanzania na nchi karibu zote duniani. Vijana wengi sasa wakitembea barabarani ili ujue jinsia zao basi itakubidi utazame kifuani au sehemu zingine za miili yao ndipo utajua huyu ni msichana au mvulana na si mavazi pekee.
Kama suruali zao zinafanana, pensi pia zinafanana, t-shirts zinafanana, na wakati mwingine mpaka vikanyagio(viatu) vinafanana.
Hair style inafanana. Wengine wanajipodoa uso ingawa huita scrub ili kuhalalisha upuuzi.
Duuuuhhh, vijana wenzangu Mungu anawaona .
Bila picha uzi aunogiWale wazee wa "Weka picha" ngoja nisaidie kuchombeza uzi
View attachment 1010025
Picha au video zipo wapi? Ila ukumbuke na bidhaa nyingine ni unisex. Pia yaweza kuwa ndio social au biological evolution hiyo.Habarini!