Sasa haka kamvua kidogo hapa Arusha mjini kasihusishwe na ujio maana hamkawii

May Day

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Posts
6,311
Reaction score
9,027
Juzi nilikutana na uzi unaohusisha uwepo wa Kiongozi mahali na kunyesha kwa kamvua....hivyo nina wasiwasi hawa jamaa watakuja na hilo hili kuhusu Arusha.

Tuwasikilize Mamlaka hali ya hewa wanasemaje..

Mama Kijazi na timu yake atuambie itanyesha hainyeshi?. tupande au tusubiri maana wengi tumeshandaa mashamba yetu.
 
Ajabu ni kwamba huko daslam anakolala mara kwa mara hainyeshi. Praise team ni wajinga sana
 
Back
Top Bottom