Ajabu ni kwamba huko daslam anakolala mara kwa mara hainyeshi. Praise team ni wajinga sanaJuzi nilikutana na uzi unaohusisha uwepo wa Kiongozi mahali na kunyesha kwa kamvua....hivyo nina wasiwasi hawa jamaa watakuja na hilo hili kuhusu Arusha.
Tuwasikilize Mamlaka hali ya hewa wanasemaje..
Mama Kijazi na timu yake atuambie itanyesha hainyeshi?. tupande au tusubiri maana wengi tumeshandaa mashamba yetu.
hahahahahahaAjabu ni kwamba huko daslam anakolala mara kwa mara hainyeshi. Praise team ni wajinga sana
Hata Dodoma ni kukavu pia....Ajabu ni kwamba huko daslam anakolala mara kwa mara hainyeshi. Praise team ni wajinga sana
🤣😂🏃Ajabu ni kwamba huko daslam anakolala mara kwa mara hainyeshi. Praise team ni wajinga sana