Sasa hapo ndo Mgao utaisha. Bila hivyo mtamlaumu tu Waziri. Ukimsoma hapa kwa Utulivu

Sasa hapo ndo Mgao utaisha. Bila hivyo mtamlaumu tu Waziri. Ukimsoma hapa kwa Utulivu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Screenshot_2024-02-21-13-44-14-432_com.whatsapp~2.jpg


ITATEGEMEANA NA MAJENERETA TULIYOLETA YATAISHA LINI.

hiyo hakumalizia.
 
Mwananchi wameomba Radhi Kwa hii habari Kwa kusema kuwa wamepotosha kauli ya waziri
 
Historia ni mwalimu mkuu..iko siku hakutakuwa na mahali pa kuficha haya yote...tusubiri tu 2060 kila kitu wazi.
 
kwahyo mgao tupo naao sana wadau.... solution ni waliofeli kwa miaka 60 ya kuitawala nchi watupishe, tuanze kutoa ajira za miaka mi5, mi5 ukifeli mitano imekutosha tupishe waje wengine... ila bila katiba mpya tutaendelea kuburuzwa na ccm mpaka mapinduzi ya kijeshi 2045
 
Jerry Rawlings wa Tanzania anahitajika awakusanye wote hawa longo longo na awapige risasi wote hadhari nchi irudi kwenye mstari, sijui Gen mkunda na vijana wake wataamka lini toka huko makambini wawe kweli JWTZ…
 
Back
Top Bottom