kwahyo mgao tupo naao sana wadau.... solution ni waliofeli kwa miaka 60 ya kuitawala nchi watupishe, tuanze kutoa ajira za miaka mi5, mi5 ukifeli mitano imekutosha tupishe waje wengine... ila bila katiba mpya tutaendelea kuburuzwa na ccm mpaka mapinduzi ya kijeshi 2045
Jerry Rawlings wa Tanzania anahitajika awakusanye wote hawa longo longo na awapige risasi wote hadhari nchi irudi kwenye mstari, sijui Gen mkunda na vijana wake wataamka lini toka huko makambini wawe kweli JWTZ…