Sasa hayo ni mapenzi au utapeli?

Sasa hayo ni mapenzi au utapeli?

5bb5a54a582d6736a5716c5800693884.jpg
Mapenz n Ghalama mkuu. Me sabuni ya 500 nnafulia Nguo nyng sana pia hata ghalama ya maji hakuna.
 
Itafikia mahali hata kumsalimia tu mwanamke itabidi ulipie bila hivyo haitiki.

Wanakuambia hivii..."Jiongeze"
Mimi kwangu imeshafika,ila nilimwambia wewe ni x-wangu sawa naweza kukupa kitu unachoomba ila sio kwa utaratibu wa kusalimiana tu mazinga ..yaani ilikuwa akiniambia M,nimekumis...nikijibu vizuri tu smc ya NNE mzinga...dah
 
Umenikumbusha...Leo ni siku ya kuzaliwa ya x-wangu.nimaamua ku-wish na kumwambia nakupenda kilichofata ni reply asante ila naomba sh....., sijamjibu had i sasa.yaani inamaana kumwambia nakupenda hadi nilipie...
Umenichekesha sana,nakupenda kavu hainogi...
 
  • Thanks
Reactions: lup
aisee hii kiboko yaani wakati nasoma huu uzi mara msg imeingia whatsapp nimepigwa kizinga cha salamu cha elfu60 tena mtu mwenyewe yupo nje ya tanzania sasa najiuliza kaamua kunitega au ndio bado huko aliko anaishi kwa mazoea kama tupo wote maana hiyo pesa ili aipate inabidi niandae laki kabisa na wala sio 60
 
  • Thanks
Reactions: lup
Back
Top Bottom