KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,517
Shunie mamii birth day yako lini?Hahahahhhh uyo alikua hana hela ya cake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shunie mamii birth day yako lini?Hahahahhhh uyo alikua hana hela ya cake
Mapenz n Ghalama mkuu. Me sabuni ya 500 nnafulia Nguo nyng sana pia hata ghalama ya maji hakuna.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] hawa viumbe acha kabxa....ila mungu anawona...[emoji85] [emoji85]
Mbona mi wangu ni mwalimu wa sec..degree miaka zaidi ya mitano ila ndio hivyoKumbe mwanachuo, ndo zao
Mimi kwangu imeshafika,ila nilimwambia wewe ni x-wangu sawa naweza kukupa kitu unachoomba ila sio kwa utaratibu wa kusalimiana tu mazinga ..yaani ilikuwa akiniambia M,nimekumis...nikijibu vizuri tu smc ya NNE mzinga...dahItafikia mahali hata kumsalimia tu mwanamke itabidi ulipie bila hivyo haitiki.
Wanakuambia hivii..."Jiongeze"
KabisaUsifananishe mchuzi na vitu vya kijinga
Umenichekesha sana,nakupenda kavu hainogi...Umenikumbusha...Leo ni siku ya kuzaliwa ya x-wangu.nimaamua ku-wish na kumwambia nakupenda kilichofata ni reply asante ila naomba sh....., sijamjibu had i sasa.yaani inamaana kumwambia nakupenda hadi nilipie...
Nilikuwa xijuiUmenichekesha sana,nakupenda kavu hainogi...