Sasa hii SGR tutaendesha kwa mafuta?

Sasa hii SGR tutaendesha kwa mafuta?

Kama umeme wetu unategemea maji kwanini tuwekeze matrilioni ya pesa kujenga SGR?

Haya yatakuwa matumizi mabaya ya fedha. Pelekeni pesa hizo kwenye miradi ya kimkakati.
SGR ya Kenya inatumia dizeli. Hamieni huko mtapewa County yenu chini ya Gavana Heche.
 
Kama umeme wetu unategemea maji kwanini tuwekeze matrilioni ya pesa kujenga SGR?

Haya yatakuwa matumizi mabaya ya fedha. Pelekeni pesa hizo kwenye miradi ya kimkakati.
Factors affecting transportation

1. Good political will
2. Availability of fuels
3. Political stability
4. Good gorvernnce
5. Corruption
6. Etc
 
Back
Top Bottom