sasa hivi huko aliko lala Obama hajajigeuza hata kitandi lakini huko bongo hakukaliki

sasa hivi huko aliko lala Obama hajajigeuza hata kitandi lakini huko bongo hakukaliki

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Foleni ya kufa mtu kila afande ninaye kutana naye kanuna, kila mtu anakimbia Obama akute kashafika kibarua. majanga..mbona majanga?. mia
 
Watu wamechachawa utadhani wanamngoja MUNGU. elfu.
 
Sasa watu wanahanyahanya nini?
Kuna msaada gani atakayotoa kwa Ndugu zangu hawa hapo Bongo?
 
Hahah kuna muda ukifika tutafungiwa mjini...hakuna kutoka wala kuingia!!!
 
yaani leo saa 12:15 road ya nyerere tokea airport imejaa kuja mjini balaa
 
Nasikia anawasili saa nane, sipati picha watu watakavyokanyagana huko, figganigga usisahau kunitupia maudaku mie mwanampitwa na mengi
 
Last edited by a moderator:
yaani leo saa 12:15 road ya nyerere tokea airport imejaa kuja mjini balaa

kabanga acha tu mdau,me nimeamka mapema sana ila foelni daaaah,na daladala nyomiii,sasa hata huduma nayoifata eneo husika wenyewe hawajaamka
 
Last edited by a moderator:
kabanga acha tu mdau,me nimeamka mapema sana ila foelni daaaah,na daladala nyomiii,sasa hata huduma nayoifata eneo husika wenyewe hawajaamka

nimepita goms pale, aibu hilo nyomi, nikasema hata ukimuona mtu unaemjua umpe lift gari yaweza kuvamiwa...
 
Mgeni anapiga cha asubuhi saa hizi....wakt huku mwenzetu ht kulala hajalala anamuwaza obama
 
Nasikia anawasili saa nane, sipati picha watu watakavyokanyagana huko, figganigga usisahau kunitupia maudaku mie mwanampitwa na mengi
ntakutumia picha. mimi atanikuta tanesco namsubiri. maanake huko barabarani hatashuka lakini pale symbion lazima ashuke. mia
 
Last edited by a moderator:
Vipi list ya the "choosen few", imetoka au vipi?
sasa hivi wale mawaziri kiroho kinadunda kama watu wanao subiri majibu ya interview. inabidi wawacheleweshe kuwapa majibu ili wasiandae njama. mia
 
Kumwalika wa mwalike wao,tabu tupe sisi!majanga,majanga.................endeleza hapo sasa
 
Hahaha pale Ikulu jana mawaziri walikuwa wanakaguliwa kama magaidi vile....
Wamevuliwa viatu, mikanda, makoti ya suti...halafu wakapitishwa kwa skana....hahahah...
 
Bitte schon!!!!!!!!
Btw, ich habe Kopfchmerzen und fuhle mich nicht zu gut heute.

Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom