Sasa hivi kila sekta ngumu kutoboa ilikuwa rahisi 2012 kuja 2022

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Sasa hivi wanaofanikiwa ni wale walio kwenye mfumo tu mambo yamebadilika sasa ni kama kila deal halilipi.ukija kwenye biashara ya nguo watu wana maduka kibao mitaani wengine ku clear mzigo wanauza mpaka Jean's 5000,

Ukija kwenye content creator washakuwa wengi ma simu ya mkopo kibao,ukija kwenye sanaa na utangazaji wa media hivyohivyo,sijui ma producer na ma director watu wana mavifaa ya mamilion 20 yuko yaani sasa hivi kujitafuta ni kazi sana nakumbuka enzi hizo mtu ukiwa na million 10 wewe ni tajiri sasa hivi watu kibao wanazo wana mabilion na hata hawafahamiki..

Leo hii utamtapeli nani na kwa njia gani kwa hiyo waliopiga bao dar ni wale waliojiingiza na kukomaa na sekta husika kuanzia 2012 mpaka 2022 kama ni madalali utawakuta kundi hilo.Miaka hio 10 ndo ilikuwa ya kutusua sasa hivi wanapiga hela walio kwenye huo mfumo tayari maskini ataendelea kuwa maskini tu.Kina bambo na Mtanga leo hii wa kuajiriwa na kina ndaro duh noma sana.
 
Shida kila mtu anataka kuwa tajiri.

Amini usiamini kitu inayoitwa "NATURE" huwa ina tendency ya kujibalance bila kelele.

Mungu alivyomuumba Adam na akampa BUSTANI hakuwa mjinga.

Sasa soon wengi watarudi mashambani, maana shamba halijawahi kumtupa mtu.
 
Sasa hivi wanaofanikiwa ni wale walio kwenye mfumo tu mambo yamebadilika sasa ni kama kila deal halilipi.ukija kwenye biashara ya nguo watu wana maduka kibao mitaani wengine ku clear mzigo wanauza mpaka Jean's 5000,ukija kwenye content creator washakuwa wengi ma simu ya mkopo kibao,ukija kwenye sanaa na utangazaji wa media hivyohivyo,sijui ma producer na ma director watu wana mavifaa ya mamilion 20 yuko yaani sasa hivi kujitafuta ni kazi sana nakumbuka enzi hizo mtu ukiwa na million 10 wewe ni tajiri sasa hivi watu kibao wanazo wana mabilion na hata hawafahamiki..leo hii utamtapeli nani na kwa njia gani kwa hiyo waliopiga bao dar ni wale waliojiingiza na kukomaa na sekta husika kuanzia 2012 mpaka 2022 kama ni madalali utawakuta kundi hilo.Miaka hio 10 ndo ilikuwa ya kutusua sasa hivi wanapiga hela walio kwenye huo mfumo tayari maskini ataendelea kuwa maskini tu.Kina bambo na Mtanga leo hii wa kuajiriwa na kina ndaro duh noma sana.
Watanzania hatuna ubunifu kazi zetu nikuiga mwezio alicho anzisha nawewe ufanye, Tanzania kuna fursa za biashara kibao ila akili zetu are not creative zime ganda hatuna exposure, kila kijana anae fail shule ni kua bodaboda dalali wa nyumba na viwanja kufungua studio ya recording au kurusha film saloin ya nywele, grocery mama tilie, udereva au ufundi cherehani umeme nk akili zetu hapo ndo mwishwo, "we dont think but we just copy what we see".........
 
Umeongea point sana
nature
 
Dah umeongea point sana now inabidi kutumia ujanja sana izo tigo pesa kitaa kama zote duka za nguo kama zote ila cha muhimu kutokupanic kwa kuangalia life la mwingine pia kuangalia nnje ya box siyo mbaya yani kucheki michongo nnje ya nnchi maana hatujawekewa mipaka ya utafutaji
 
Sasa hivi wanaofanikiwa ni wale walio kwenye mfumo tu mambo yamebadilika sasa ni kama kila deal halilipi.ukija kwenye biashara ya nguo watu wana maduka kibao mitaani wengine ku clear mzigo wanauza mpaka Jean's 5000,

Ukija kwenye content creator washakuwa wengi ma simu ya mkopo kibao,ukija kwenye sanaa na utangazaji wa media hivyohivyo,sijui ma producer na ma director watu wana mavifaa ya mamilion 20 yuko yaani sasa hivi kujitafuta ni kazi sana nakumbuka enzi hizo mtu ukiwa na million 10 wewe ni tajiri sasa hivi watu kibao wanazo wana mabilion na hata hawafahamiki..

Leo hii utamtapeli nani na kwa njia gani kwa hiyo waliopiga bao dar ni wale waliojiingiza na kukomaa na sekta husika kuanzia 2012 mpaka 2022 kama ni madalali utawakuta kundi hilo.Miaka hio 10 ndo ilikuwa ya kutusua sasa hivi wanapiga hela walio kwenye huo mfumo tayari maskini ataendelea kuwa maskini tu.Kina bambo na Mtanga leo hii wa kuajiriwa na kina ndaro duh noma sana.
Hapa unaandika baada ya kupiga ia 2, siyo??
 
Biashara za kuigana ambazo hazina ubunifu wowote, biashara ni kama hesabu, kama unajua unajua Tu...kuna maeneo Fulani TZ biashara zimeingiliwa hasa hizi za mahitaji ya nje ya mwili kama nguo,vipodozi,viatu nk zipo biashara ambazo wengi hawazifanyi Kwa kuwa Tu zinahitaji maarifa mapana na kujua Sana vitu au tuseme wito wa biashara...Hatuumizi kichwa, ziko biashara mijini utakuta zina vikorokoro kibao Mia kidogo dukani na wala havina bei kubwa, ukitoka hapo lazima kichwa kiume na kuwaza Sisi tunaweza kweli kama hivi? Acha watz tuuze nguo na kava za simu Tu ndo tunachoweza...

Biashara sawa ni za kichuuzi lakini lazima uwe strategic master kwenye kuvumbua kinachohitajika sio mnapangana Tu nguo,viatu,pafyumu nk.
 
Umeongea point sana
nature
Mkuu haiwezekani watu wote tukaishi mjini.

Siku hizi graduates hawataki kurudi majumbani kwao. Mtu anagraduata anazama kariakoo kuwa winga, mwingine anaingia mtaani anakuwa dalali.

Serikali nayo inawaambia vijana mjiajiri, ila haitengezi fursa za kujiajiri.

So watu wote unakuta wanabanana kwenye vijishughuli vilevile.

Ila mnyama "NATURE" atawaonesha kazi😀
 
Watanzania hatuna ubunifu kazi zetu nikuiga mwezio alicho anzisha nawewe ufanye, Tanzania kuna fursa za biashara kibao ila akili zetu are not creative zime ganda hatuna exposure, kila kijana anae fail shule ni kua bodaboda dalali wa nyumba na viwanja kufungua studio ya recording au kurusha film saloin ya nywele, grocery mama tilie, udereva au ufundi cherehani umeme nk akili zetu hapo ndo mwishwo, "we dont think but we just copy what we see".........
Umesema ‘we don’t think, we just copy what we see’
sawa, lakini hiyo ‘we’ unayosema unajijumuisha ndani yake pia, au unajitoa?
Kama unajijumuisha, umefanya nini kuvunja huo mzunguko?
Na kama hujijumuishi, basi wewe unafikiriaje tofauti na hao unaowasema?
 
Umesema mtanga nimekumbuka mwaka 2007 kule silversand hotel alienda akiwa na THT, Tulienjoy sana
tulienda ku present mada kwenye mkutano vijana wa femina hip
 
Tanga mjini yote duka la spea za simu... yani LCD ni moja pekee.

Hakuna sehemu wanafungulisha Balo za mikoba za mtumba...

Kiatu cha kike dar cha 5000 kwa bei ya rejareja huku machinga wanauziwa kwa bei hiyohiyo jumla ili wao wakauze 7000

Huu ni mfano tu wa uhusiano wa biashara baina ya Dar na mikoa mingine!!

Ni kweli kwa Dar hali imekuwa tete, lakini ukijaribu kuiunganisha Dar na mikoa hata miwili bado faida ipo

Maana angle hiyo bado wapo wachache!!
Kutotaka kutoka Dar nalo huwa tatizo.
Wafanya biashara wengi wa mkoani wanapitia changamoto ya kukosa connection ya uhakika Dar

Nadhan still upande huu bado unauhai japo kidogo
 
Back
Top Bottom