Sasa hivi kila sekta ngumu kutoboa ilikuwa rahisi 2012 kuja 2022

Sasa hivi kila sekta ngumu kutoboa ilikuwa rahisi 2012 kuja 2022

Upande was business zipo ambazo hata tz yenyewe hazijafanywa, East Africa hazipo, ila first mover aisee atapiga pesa sana kabla ya wengine hawaja copy.
 
Kina bambo na Mtanga leo hii wa kuajiriwa na kina ndaro duh noma sana.
Mfereji wa Hormuz hata wewe unao mkuu, hilo ni suala la kawaida utakua hujawahi kufanya kazi za ujenzi, leo ukiwa na kazi kujenga sehemu ukaitisha sehemu wewe unakua boss wao katika hao hao vijana mmoja akapata sehemu ya kujenga yeye anaakua boss wewe unakua kibarua wake yaan nyuma geuka umeshakua saidia fundi, kwa hio ndio hivyo yaan
 
Watanzania hatuna ubunifu kazi zetu nikuiga mwezio alicho anzisha nawewe ufanye, Tanzania kuna fursa za biashara kibao ila akili zetu are not creative zime ganda hatuna exposure, kila kijana anae fail shule ni kua bodaboda dalali wa nyumba na viwanja kufungua studio ya recording au kurusha film saloin ya nywele, grocery mama tilie, udereva au ufundi cherehani umeme nk akili zetu hapo ndo mwishwo, "we dont think but we just copy what we see".........
Basi umemaliza niliyotaka kusema.
Hela ipo ila inategemea unaumiza kichwa vipi kubuni kitu kwa ajili ya kutatua kero za watu.
Shida ya wabongo ni kuvizia idea za watu wengine akiamini na yeye atafanikiwa kupitia idea hiyo.
Yaani kwa vile mtu amemuona vunja bei amefanikiwa kupitia biashara ya kuuza nguo na yeye anafungua duka la nguo ili awe kama Fred Vunjabei.
 
Back
Top Bottom