ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Huko bado pesa ipo..sanasana nazungumzia mambo ya hela za digital na za ujanjaujanjaHatari sana mkuu. Vipi kwenye hotculture?
Poa poaHuko bado pesa ipo..sanasana nazungumzia mambo ya hela za digital na za ujanjaujanja
Watanzania hatuna ubunifu kazi zetu nikuiga mwezio alicho anzisha nawewe ufanye, Tanzania kuna fursa za biashara kibao ila akili zetu are not creative zime ganda hatuna exposure, kila kijana anae fail shule ni kua bodaboda dalali wa nyumba na viwanja kufungua studio ya recording au kurusha film saloin ya nywele, grocery mama tilie, udereva au ufundi cherehani umeme nk akili zetu hapo ndo mwishwo, "we dont think but we just copy what we see".........Sasa hivi wanaofanikiwa ni wale walio kwenye mfumo tu mambo yamebadilika sasa ni kama kila deal halilipi.ukija kwenye biashara ya nguo watu wana maduka kibao mitaani wengine ku clear mzigo wanauza mpaka Jean's 5000,ukija kwenye content creator washakuwa wengi ma simu ya mkopo kibao,ukija kwenye sanaa na utangazaji wa media hivyohivyo,sijui ma producer na ma director watu wana mavifaa ya mamilion 20 yuko yaani sasa hivi kujitafuta ni kazi sana nakumbuka enzi hizo mtu ukiwa na million 10 wewe ni tajiri sasa hivi watu kibao wanazo wana mabilion na hata hawafahamiki..leo hii utamtapeli nani na kwa njia gani kwa hiyo waliopiga bao dar ni wale waliojiingiza na kukomaa na sekta husika kuanzia 2012 mpaka 2022 kama ni madalali utawakuta kundi hilo.Miaka hio 10 ndo ilikuwa ya kutusua sasa hivi wanapiga hela walio kwenye huo mfumo tayari maskini ataendelea kuwa maskini tu.Kina bambo na Mtanga leo hii wa kuajiriwa na kina ndaro duh noma sana.
Umeongea point sanaShida kila mtu anataka kuwa tajiri.
Amini usiamini kitu inayoitwa "NATURE" huwa ina tendency ya kujibalance bila kelele.
Mungu alivyomuumba Adam na akampa BUSTANI hakuwa mjinga.
Sasa soon wengi watarudi mashambani, maana shamba halijawahi kumtupa mtu.
Dah umeongea point sana now inabidi kutumia ujanja sana izo tigo pesa kitaa kama zote duka za nguo kama zote ila cha muhimu kutokupanic kwa kuangalia life la mwingine pia kuangalia nnje ya box siyo mbaya yani kucheki michongo nnje ya nnchi maana hatujawekewa mipaka ya utafutajiSasa hivi wanaofanikiwa ni wale walio kwenye mfumo tu mambo yamebadilika sasa ni kama kila deal halilipi.ukija kwenye biashara ya nguo watu wana maduka kibao mitaani wengine ku clear mzigo wanauza mpaka Jean's 5000,ukija kwenye content creator washakuwa wengi ma simu ya mkopo kibao,ukija kwenye sanaa na utangazaji wa media hivyohivyo,sijui ma producer na ma director watu wana mavifaa ya mamilion 20 yuko yaani sasa hivi kujitafuta ni kazi sana nakumbuka enzi hizo mtu ukiwa na million 10 wewe ni tajiri sasa hivi watu kibao wanazo wana mabilion na hata hawafahamiki..leo hii utamtapeli nani na kwa njia gani kwa hiyo waliopiga bao dar ni wale waliojiingiza na kukomaa na sekta husika kuanzia 2012 mpaka 2022 kama ni madalali utawakuta kundi hilo.Miaka hio 10 ndo ilikuwa ya kutusua sasa hivi wanapiga hela walio kwenye huo mfumo tayari maskini ataendelea kuwa maskini tu.Kina bambo na Mtanga leo hii wa kuajiriwa na kina ndaro duh noma sana.
Hapa unaandika baada ya kupiga ia 2, siyo??Sasa hivi wanaofanikiwa ni wale walio kwenye mfumo tu mambo yamebadilika sasa ni kama kila deal halilipi.ukija kwenye biashara ya nguo watu wana maduka kibao mitaani wengine ku clear mzigo wanauza mpaka Jean's 5000,
Ukija kwenye content creator washakuwa wengi ma simu ya mkopo kibao,ukija kwenye sanaa na utangazaji wa media hivyohivyo,sijui ma producer na ma director watu wana mavifaa ya mamilion 20 yuko yaani sasa hivi kujitafuta ni kazi sana nakumbuka enzi hizo mtu ukiwa na million 10 wewe ni tajiri sasa hivi watu kibao wanazo wana mabilion na hata hawafahamiki..
Leo hii utamtapeli nani na kwa njia gani kwa hiyo waliopiga bao dar ni wale waliojiingiza na kukomaa na sekta husika kuanzia 2012 mpaka 2022 kama ni madalali utawakuta kundi hilo.Miaka hio 10 ndo ilikuwa ya kutusua sasa hivi wanapiga hela walio kwenye huo mfumo tayari maskini ataendelea kuwa maskini tu.Kina bambo na Mtanga leo hii wa kuajiriwa na kina ndaro duh noma sana.
Mkuu haiwezekani watu wote tukaishi mjini.Umeongea point sana
nature
Huwezi amini mkuu nimefanikiwa kupunguza sana kilaji kwa mwezi nakunywa labda 6 times tuHapa unaandika baada ya kupiga ia 2, siyo??
Umesema ‘we don’t think, we just copy what we see’Watanzania hatuna ubunifu kazi zetu nikuiga mwezio alicho anzisha nawewe ufanye, Tanzania kuna fursa za biashara kibao ila akili zetu are not creative zime ganda hatuna exposure, kila kijana anae fail shule ni kua bodaboda dalali wa nyumba na viwanja kufungua studio ya recording au kurusha film saloin ya nywele, grocery mama tilie, udereva au ufundi cherehani umeme nk akili zetu hapo ndo mwishwo, "we dont think but we just copy what we see".........