HakikaShida kila mtu anataka kuwa tajiri.
Amini usiamini kitu inayoitwa "NATURE" huwa ina tendency ya kujibalance bila kelele.
Mungu alivyomuumba Adam na akampa BUSTANI hakuwa mjinga.
Sasa soon wengi watarudi mashambani, maana shamba halijawahi kumtupa mtu.
Hicho kilimo.n biashara labda ulime kwa ajil ya kula.tuNdio mana sitak mambo ya biashara na kuajiliwa bora nidili na kilimo
Mfereji wa Hormuz hata wewe unao mkuu, hilo ni suala la kawaida utakua hujawahi kufanya kazi za ujenzi, leo ukiwa na kazi kujenga sehemu ukaitisha sehemu wewe unakua boss wao katika hao hao vijana mmoja akapata sehemu ya kujenga yeye anaakua boss wewe unakua kibarua wake yaan nyuma geuka umeshakua saidia fundi, kwa hio ndio hivyo yaanKina bambo na Mtanga leo hii wa kuajiriwa na kina ndaro duh noma sana.
Basi umemaliza niliyotaka kusema.Watanzania hatuna ubunifu kazi zetu nikuiga mwezio alicho anzisha nawewe ufanye, Tanzania kuna fursa za biashara kibao ila akili zetu are not creative zime ganda hatuna exposure, kila kijana anae fail shule ni kua bodaboda dalali wa nyumba na viwanja kufungua studio ya recording au kurusha film saloin ya nywele, grocery mama tilie, udereva au ufundi cherehani umeme nk akili zetu hapo ndo mwishwo, "we dont think but we just copy what we see".........