Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Hayajakukuta tu,sio kila mtu anataka kukopa kusumbua watu,kuna muda mambo yanakuzidi benki hukopesheki,na una ndugu na jamaa,kwa nn usikopeWajameni, hali ni ngumu.
Nina ndugu, jamaa na marafiki amabo kila kukicha ni kutaka kunikopa.
Tatizo ni moja tu, ukimkopesha mtu sasa hivi stress inahamia kwako.
Kumfuatilia mtu uliyemkopesah ni shughuli pevu.
Mara simu haipatikani, amekublock!
Sasa tufanyeje wajameni , tuingie ugomvi wa kutomkopesha mtu, tuanze uadui, au umkpeshe mtu na asilipe tuanze uadui?
Na hapo si kwamba mimi sina shida, ila ni kiongozi wa ukoo fulani wenye ng'ombe wengi!!!
Mkopeshe Mkinga ni mwaminifu sana, kopesha mchaga ulieWajameni, hali ni ngumu.
Nina ndugu, jamaa na marafiki amabo kila kukicha ni kutaka kunikopa.
Tatizo ni moja tu, ukimkopesha mtu sasa hivi stress inahamia kwako.
Kumfuatilia mtu uliyemkopesah ni shughuli pevu.
Mara simu haipatikani, amekublock!
Sasa tufanyeje wajameni , tuingie ugomvi wa kutomkopesha mtu, tuanze uadui, au umkpeshe mtu na asilipe tuanze uadui?
Na hapo si kwamba mimi sina shida, ila ni kiongozi wa ukoo fulani wenye ng'ombe wengi!!!
Ukikopa lipa basi siyo unakopa unaanza tena wewe kukimbia wakati aliyekukopesha hakukukimbia ulivyomlilia shida.Hayajakukuta tu,sio kila mtu anataka kukopa kusumbua watu,kuna muda mambo yanakuzidi benki hukopesheki,na una ndugu na jamaa,kwa nn usikope
sheria ya kumkopesha mtu cha kwanza akikisha anayo kazi ya kujiingizia kipato... cha pili akikisha hauna matatizo ya presha maana usipokuw makn unayemdai atakuua kwa preshaWajameni, hali ni ngumu.
Nina ndugu, jamaa na marafiki amabo kila kukicha ni kutaka kunikopa.
Tatizo ni moja tu, ukimkopesha mtu sasa hivi stress inahamia kwako.
Kumfuatilia mtu uliyemkopesah ni shughuli pevu.
Mara simu haipatikani, amekublock!
Sasa tufanyeje wajameni , tuingie ugomvi wa kutomkopesha mtu, tuanze uadui, au umkpeshe mtu na asilipe tuanze uadui?
Na hapo si kwamba mimi sina shida, ila ni kiongozi wa ukoo fulani wenye ng'ombe wengi!!!
Katika kudai ulichomkopesha mtu ndio kuna kero kubwa.sheria ya kumkopesha mtu cha kwanza akikisha anayo kazi ya kujiingizia kipato... cha pili akikisha hauna matatizo ya presha maana usipokuw makn unayemdai atakuua kwa presha
UmenenaWajameni, hali ni ngumu.
Nina ndugu, jamaa na marafiki amabo kila kukicha ni kutaka kunikopa.
Tatizo ni moja tu, ukimkopesha mtu sasa hivi stress inahamia kwako.
Kumfuatilia mtu uliyemkopesah ni shughuli pevu.
Mara simu haipatikani, amekublock!
Sasa tufanyeje wajameni , tuingie ugomvi wa kutomkopesha mtu, tuanze uadui, au umkpeshe mtu na asilipe tuanze uadui?
Na hapo si kwamba mimi sina shida, ila ni kiongozi wa ukoo fulani wenye ng'ombe wengi!!!
Ukimkopesha mwanamke , hiyo imekula kwako.Tena usije ukathubutu kumkopesha mwanamke.Hawa watu hawanaga ela siku zote.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mkuu mtu wa aina hiyo siyo wa kumkopesha.Hayajakukuta tu,sio kila mtu anataka kukopa kusumbua watu,kuna muda mambo yanakuzidi benki hukopesheki,na una ndugu na jamaa,kwa nn usikope
Ha ha haKuna huyu mmoja hapa, huwa anakopa hela lakini wakati wa kulipa anakulipa mkiwa bar, sasa unashindwa kumuelewa kwanini anakulipa bar? Na akikulipa hiyo ela lazima muitumie hapo.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app