Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Leo katika pita pita zangu kila nilipokuwa nakaa tu anatokea kijana eti anataka aniombee yeye ni pasta. Sasa Mimi nilikuwa nakunali tu ili kuwachora.
Leo nimeombewa kitaa na zaidi ya mapasta watano. Makanisa nayo yamekuwa utitiri huku mtaani kiasi ambacho nchi imekosa uelekeo kila mtu anaona upasta ndo njia rahisi ya kunikusha yia pesa.
Huku mtaani Hali ni mbaya kila nyumba kanisa linafunguliwa. Imeefika hatua hata waumini Ni kunyang'anyana Tena na matusi juu.
Kuna kanisa hapa jamaa aliaminiwa kama pasta chini ya fpct baada ya kuhubiri tu mda mrefu akarigeuza kuwa la kwake na nembo ya fpct akatoa ili awe mmiriki peke yake. Juzi maaskofu wa fpct wamemshukia Kama mwewe na ngumu zimepigwa kanisani.
Sijui huyu mungu kweli yupo au Ni dhana tu