Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Hivi Tanzania ya leo ambayo jeshi la Magereza wana viwanda vya kutengeneza na kudesign nguo na vifaa muhimu vya jeshi, jeshi la kujenga Taifa JKT wana viwanda lakini mtu mmoja anakuja na kofia ya kushonwa na cherehani ya singer ya 1980 eti Captain wa jeshi.
Na wajinga wakaamini na kusubiri wakombolewe 😂😂😂😂
Ifike muda serikali iwapoke vyeti vya elimu wajinga wote .
Na wajinga wakaamini na kusubiri wakombolewe 😂😂😂😂
Ifike muda serikali iwapoke vyeti vya elimu wajinga wote .