Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
basi tufanye na wale Wafuasi wa Mange nao ni Matahira zaidi.Hakuna utahira zaidi ya ule wa kufanya birthday kuwa siku ya kitaifa
Kwenye familia mzazi akiwa tahira na mtoto akiwa tahira, unahisi aibu kubwa inakuwa kwa nani?basi tufanye na wale Wafuasi wa Mange nao ni Matahira zaidi.
Huwezi kuchezewa mchezo rahisi wa Captain Tesha na ukauamini ukiwa na akili timamu
Lazima unayo matatizo ya network kwa mnara!Hivi Tanzania ya leo ambayo jeshi la Magereza wana viwanda vya kutengeneza na kudesign nguo na vifaa muhimu vya jeshi, jeshi la kujenga Taifa JKT wana viwanda lakini mtu mmoja anakuja na kofia ya kushonwa na cherehani ya singer ya 1980 eti Captain wa jeshi.
Na wajinga wakaamini na kusubiri wakombolewe ππππ
Ifike muda serikali iwapoke vyeti vya elimu wajinga wote .
View attachment 3535155
Mimi niliyekamatwa kwa kosa la kulipwa bilioni tano kuandaa na kuhamasisha maandano October 29 30 na 31 (kabala na baada ya uchaguzi) sijafikishwa mahakamani hadi leo hii.Hivi Tanzania ya leo ambayo jeshi la Magereza wana viwanda vya kutengeneza na kudesign nguo na vifaa muhimu vya jeshi, jeshi la kujenga Taifa JKT wana viwanda lakini mtu mmoja anakuja na kofia ya kushonwa na cherehani ya singer ya 1980 eti Captain wa jeshi.
Na wajinga wakaamini na kusubiri wakombolewe ππππ
Ifike muda serikali iwapoke vyeti vya elimu wajinga wote .
View attachment 3535155
Ila tunatakiwa tuamini kirahisi kuwa Samia alipata kura 31m zilizohesabiwa siku 2 mbila iternet!Hivi Tanzania ya leo ambayo jeshi la Magereza wana viwanda vya kutengeneza na kudesign nguo na vifaa muhimu vya jeshi, jeshi la kujenga Taifa JKT wana viwanda lakini mtu mmoja anakuja na kofia ya kushonwa na cherehani ya singer ya 1980 eti Captain wa jeshi.
Na wajinga wakaamini na kusubiri wakombolewe ππππ
Ifike muda serikali iwapoke vyeti vya elimu wajinga wote .
View attachment 3535155
Hivi Tanzania ya leo ambayo jeshi la Magereza wana viwanda vya kutengeneza na kudesign nguo na vifaa muhimu vya jeshi, jeshi la kujenga Taifa JKT wana viwanda lakini mtu mmoja anakuja na kofia ya kushonwa na cherehani ya singer ya 1980 eti Captain wa jeshi.
Na wajinga wakaamini na kusubiri wakombolewe ππππ
Ifike muda serikali iwapoke vyeti vya elimu wajinga wote .
View attachment 3535155
kweli wewe ni tahira.Kwamba wewe unamjua Tesha siyo afisa wa jeshi kuliko yule anaye daiwa kuwa Afande Mafwele kwenye ile audio clip ya kuwasihi askari polisi wasijiingize kukosoa serikali kipindi kile cha uchaguzi?
Maana alsikika akimtaja Captain Tesha.