Sasa hivi Ruto anajisemea angalau Jirani amejua aina ya watu ninaodeal nao, huku hakuna wafu kuna vichaa walioelimika

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,663
Nipo mjini huko youtube, wanaharakati wachache waliokamatwa huku kwetu wamezua balaa na umoja wa ajabu kukemea tukio hilo, huwa tunasega IME - BACKFIRE.

Kweli ile nchi kuiongoza ni ngumu, Kuna watu walioelimika na wana ukichaa flani hivi linapokuja suala la kutetea haki zao.

Ni juzi tu hapo Ruto karushiwa kiatu jukwaani
 
Nipo mjini huko youtube, wanaharakati wachache tu waliokamatwa huku kwetu wamezua balaa na umoja wa ajabu kukemea tukio hilo, huwa tunasega IME - BACKFIRE.

Kweli ile nchi kuiongoza ni ngumu, Kuna watu walioelimika na wana ukichaa flani hivi linapokuja suala la kutetea haki zao.
It happens unapokuwa na wasomi wengi halaf fursa chache, hawakubali kushuka kabisa
 
Ila elimu imewasaidia, hata walimu wengi wa kiswahili nchi za nje ni Wakenya, Idhaa ya kiswahili pale DW wamejaa wakenya, wakati sisi tunaokitumia kiswahili kama lugha mama tumewekwa kando, Just Imagine !!
 
Hivyo ndivyo unavyotakiwa bado wanakumbuka utawala wa Kidikteta wa KANU chini ya Moi sisi ndio tiko kwenye zama za Kidikteta.
 
Ila elimu imewasaidia, hata walimu wengi wa kiswahili nchi za nje ni Wakenya, Idhaa ya kiswahili pale DW wamejaa wakenya, wakati sisi tunaokitumia kiswahili kama lugha mama tumewekwa kando, Just Imagine !!
Yap, means kama nchi tuna feli sehem, wenye kiswahil hawachukuliwi, wanachokuliwa ni wale ambao wamejifunza
 
Nipo mjini huko youtube, wanaharakati wachache waliokamatwa huku kwetu wamezua balaa na umoja wa ajabu kukemea tukio hilo, huwa tunasega IME - BACKFIRE.

Kweli ile nchi kuiongoza ni ngumu, Kuna watu walioelimika na wana ukichaa flani hivi linapokuja suala la kutetea haki zao.

Ni juzi tu hapo Ruto karushiwa kiatu jukwaani
We hujui maana ya elimu
 
Back
Top Bottom