watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
It happens unapokuwa na wasomi wengi halaf fursa chache, hawakubali kushuka kabisaNipo mjini huko youtube, wanaharakati wachache tu waliokamatwa huku kwetu wamezua balaa na umoja wa ajabu kukemea tukio hilo, huwa tunasega IME - BACKFIRE.
Kweli ile nchi kuiongoza ni ngumu, Kuna watu walioelimika na wana ukichaa flani hivi linapokuja suala la kutetea haki zao.
Ila elimu imewasaidia, hata walimu wengi wa kiswahili nchi za nje ni Wakenya, Idhaa ya kiswahili pale DW wamejaa wakenya, wakati sisi tunaokitumia kiswahili kama lugha mama tumewekwa kando, Just Imagine !!It happens unapokuwa na wasomi wengi halaf fursa chache, hawakubali kushuka kabisa
Yap, means kama nchi tuna feli sehem, wenye kiswahil hawachukuliwi, wanachokuliwa ni wale ambao wamejifunzaIla elimu imewasaidia, hata walimu wengi wa kiswahili nchi za nje ni Wakenya, Idhaa ya kiswahili pale DW wamejaa wakenya, wakati sisi tunaokitumia kiswahili kama lugha mama tumewekwa kando, Just Imagine !!
We hujui maana ya elimuNipo mjini huko youtube, wanaharakati wachache waliokamatwa huku kwetu wamezua balaa na umoja wa ajabu kukemea tukio hilo, huwa tunasega IME - BACKFIRE.
Kweli ile nchi kuiongoza ni ngumu, Kuna watu walioelimika na wana ukichaa flani hivi linapokuja suala la kutetea haki zao.
Ni juzi tu hapo Ruto karushiwa kiatu jukwaani
Ulisikia wapi WANTAMRuto WANTAM🤣