Kwa mujibu wa rafiki yangu yeye anaona hichi ulichoandika ni sawa na mchezo wa aviator!Tangu tuwe wapenzi,
Tumependana kiukweli pendo letu la moyoni,
Mioyo tusibadili wangu kipenzi dada tuepuke ushauri eeh,
Kwa mahasidi , kipenzi oooh sauda,
Kwa mahasidi kipenzi dada,
Tuepuke ushauri kwa mahasidi wapenzi ooh sauda, kwa mahasidi dada, oooooh sauda
Rafiki yupi keniKwa mujibu wa rafiki yangu yeye anaona hichi ulichoandika ni sawa na mchezo wa aviator!
Me huwa nasoma tuu headlineumesoma mada nakuielewa..??
Uchawi upo ,ππKabadili msimamo yamemshinda...π