Sasa hivi sitashabikia siasa kabisa humu jamvini namuombea tu Magufuli

Sasa hivi sitashabikia siasa kabisa humu jamvini namuombea tu Magufuli

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,298
Reaction score
47,337
Inakuwaje wanajamvi!

Nimekatishwa tamaa sana na hawa madada hasahasa Halima. 2010 uchaguzi nilikuwa bongo likizo na tulilinda kura zake hadi akashinda.

Hule msafara wake kuelekea bunju bagamoyo rodi nilikuwepo tukishangilia. Ni mambo yanayokatisha tamaa sana.

Sisi waafrika watu wa ajabu sana hata kama ni njaa si unakomaa tu.

Mbowe kwa kuwa mpinzai tu walimbomolea miundo mbinu ya mabomba kwenye green house yake iliyoajir mamia unajiuliza WTF. Bilicanas wamemchukulia.

Nimejifunza kitu you can't fight and win with someone having power and money. Nikuwaombea tu kwasababu wanamalaka wasizidi kuwaonea Wananch hata kama ving'ang'aniz kwenye madara.

Nikumuombea tu jamaa apate hekima tu kwasababu kinachoendelea sasa hivi nchi inaendeshwa kitoto na kukera. Wanafanya mambo yao utadhani ni hamna kesho.
 
Mkuu....
Kwani haujasikia kwamba kuna watu wamekikeketa chama bila ganzi yaani...😂🤣
 
Ulitaka iwaje yaani kiufupi, wagome au wafanye nini ha a
 
Vile MATAGA wamefurahia leo!
24577890.jpg
 
Wanawake waliwa saliti mitume na manabii wa mungu, sembuse upinzani.
Njaa mbaya sana. Kigogo 2014 (noble peace award contester) aliliona hili.

Mange naye walimtuliza akaingia mitini. Wakamtuliza tena alipoibuka wakati korona inapamba moto. Katulia kabaki kuposti anavaa vichupi
 
Mimi nilihama na Dr. Slaa na Yule mama wa ACT sishangai Leo hii kunachotokea
 
Njaa mbaya sana. Kigogo 2014 (noble peace award contester) aliliona hili.

Mange naye walimtuliza akaingia mitini. Wakamtuliza tena alipoibuka wakati korona inapamba moto. Katulia kabaki kuposti anavaa vichupi
Aliposema andamaneni mlimpuuza leo amewapuuza nyie mnasema ametulizwa hahahaaaaa
 
Nawapa heko kwa kujiongeza.

Walichangishwa fedha kwa ajili ya uchaguzi na wakitumaini zitawasaidia kwenye Uchaguzi 2020, mwishoni wanaambiwa hakuna hela. WAFANYEJE NA TUNAWAHITAJI BUNGENI?
 
Back
Top Bottom