BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
Mko vizuri na Nani wewe lafa?yaani wewe ndio bure kabisa sasa kwa taarifa yako tupo vizuri na mtaisoma namba mwaka huu, huku ni mbele kwa mbele
Makonda(2) na Bashite ni watu tofauti kumbeUngekuwa umejiynga JF mwaka jana au mwaka huu ningesema wewe ni Bavicha.
List ya wanafiki waliomdanganya Rais na wanaosadia Lissu achukur nchi ni hawa hapa.
1. Mnyeti
2. Makonda
3. Ali hapi
4. Gambo
5. Ole sendeka
6. Pole pole
7. Bashiru
8. Mahera
9. Mtungi
10. Mrema
11. Mbatia
12. Lowasa
13. Rostam
14. Mgombea wa kata( diwani)
15.Mode
16. Kabudi.
17. Kajurumuguli
18. Mambo leo
19.Lau
20. The last but not least... Bashite.
21......the list goes on
πππHuu ni uongo mtupu!.
CCM ni moja, tuko wamoja na imara kama tembo.
Uchaguzi Mkuu huu tunashinda kwa kishindo!.
P
Hata mgonjwa ili apate matibabu sahihi, ni lazima kwanza akubali kuwa ni mgonjwa, halafu awe nahiari ya kupata tiba . Vinginevyo hatapona au atakufa.Huu ni uongo mtupu!.
CCM ni moja, tuko wamoja na imara kama tembo.
Uchaguzi Mkuu huu tunashinda kwa kishindo!.
P
Na hao maslahi ndio wanaojinasibisha kuwa ni wazalendo ilhali sii kweli.Ushauri was bure .Hawa sii rafiki kwa maslahi ya taifa.Hata wazee wa chama walisha waambia, kuna CCM itikadi na CCM maslahi. Naona ccm itikadi wanapungua na wanao ongezeka ni ccm maslahi
Tangu umchomee Kabendera haupo sawa kabisa. Sasa sijui unabisha nini ktk ukweli huu!?Huu ni uongo mtupu!.
CCM ni moja, tuko wamoja na imara kama tembo.
Uchaguzi Mkuu huu tunashinda kwa kishindo!.
P
tupo vizuri bila ya wewe faloMko vizuri na Nani wewe lafa?
Wahamiaji haramu mwisho wenu umefika ..mbere ndio nini..xenophobiaSisiemu itashinda kwa kishindo na tutashangaa na hatutafanya lolote. Hii ndiyo Tanzania iliyojaa watu waoga. Magu songa mbere
Labda ishinde njaaSisiemu itashinda kwa kishindo na tutashangaa na hatutafanya lolote. Hii ndiyo Tanzania iliyojaa watu waoga. Magu songa mbere