Uchaguzi 2020 Sasa hivi tupo CCM asili na CCM Mpya, hii CCM Mpya ni kikundi kidogo sana cha Bashiru, Polepole na wahamiaji toka upinzani

Uchaguzi 2020 Sasa hivi tupo CCM asili na CCM Mpya, hii CCM Mpya ni kikundi kidogo sana cha Bashiru, Polepole na wahamiaji toka upinzani

Muandishi, hongera kwa kuwa mkweli,umeandika Jambo lenue mantiki Sana,tatizo ni kwamba baadhi ya watu humu wanakupinga,Ila moyoni wanakubali Kama ni Wana CCM wenye moyo wa dhati,Ila Kama wamekaa kishabiki Sana hawawezi kumuelewa.
 
CCM bado tupo pamoja sana.

Check hii List,Utaelewa Jambo.

2010--Dkt Slaa,Baada ya hapo aliwabwaga na kauli nzito.

2O15--Lowassa, baada ya hapo akawabwaga na kauli ya kejeli.

2020-- Tundu A. Lissu, Sijui atatemwa au atawatema akiona jambo lake halijafanikiwa.

2025?? Nawaombea kila la kheri mshiriki katika uchaguzi huu kama mtakuwa bado hai kichama.
 
Sisi tunasubiri tu kufanya yetu tarehe 28,Tunaomba ushirikiano tuwangoe hawa CCM mpya basi kama wamewakera
 
Ungekuwa umejiynga JF mwaka jana au mwaka huu ningesema wewe ni Bavicha.

List ya wanafiki waliomdanganya Rais na wanaosadia Lissu achukur nchi ni hawa hapa.

1. Mnyeti
2. Makonda
3. Ali hapi
4. Gambo
5. Ole sendeka
6. Pole pole
7. Bashiru
8. Mahera
9. Mtungi
10. Mrema
11. Mbatia
12. Lowasa
13. Rostam
14. Mgombea wa kata( diwani)
15.Mode
16. Kabudi.
17. Kajurumuguli
18. Mambo leo
19.Lau
20. The last but not least... Bashite.

21......the list goes on
Makonda(2) na Bashite ni watu tofauti kumbe
 
Huu ni uongo mtupu!.
CCM ni moja, tuko wamoja na imara kama tembo.
Uchaguzi Mkuu huu tunashinda kwa kishindo!.
P
Hata mgonjwa ili apate matibabu sahihi, ni lazima kwanza akubali kuwa ni mgonjwa, halafu awe nahiari ya kupata tiba . Vinginevyo hatapona au atakufa.
 
JPM hakukulia kwenye chama bali serikalini. Chama chenye umri kiliko yeye siyo rahisi kukifinyanga kama vyama alivyoanzisha Museveni na Kagame. Kuwa sideline wafia chama na kuleta fresh blood ambayo haikukulia kwenye chama madhara yake ni muda tu utaeleza.
 
Hata wazee wa chama walisha waambia, kuna CCM itikadi na CCM maslahi. Naona ccm itikadi wanapungua na wanao ongezeka ni ccm maslahi
 
Hata wazee wa chama walisha waambia, kuna CCM itikadi na CCM maslahi. Naona ccm itikadi wanapungua na wanao ongezeka ni ccm maslahi
Na hao maslahi ndio wanaojinasibisha kuwa ni wazalendo ilhali sii kweli.Ushauri was bure .Hawa sii rafiki kwa maslahi ya taifa.
 
Watumishi wote kura ni kwa lissu.Mmeteseka sana miaka 5 bila kupata stahiki zenu.
 
Sisiemu itashinda kwa kishindo na tutashangaa na hatutafanya lolote. Hii ndiyo Tanzania iliyojaa watu waoga. Magu songa mbere
Wahamiaji haramu mwisho wenu umefika ..mbere ndio nini..xenophobia
 
Back
Top Bottom