ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wakuu kifo kwa sasa kipo nje nje watu wamekuwa wakaidi halafu Mambo yanatisha Hali Ni tete.kila mtu na time yake.hatari sana yaani Mambo yamekuwa conk.kupotea Ni dakika sifuri kufa kupo tu ndani ya uso wa hii DUNIA.tunakatika na kupukutika kila kukicha siku ya kufa inakaribia.maisha yanazidi Kuwa ya wasiwasi pressure kubwa ukifa pole sana ila jitahidi ndugu yangu usisikitize usiumie mtu asikuumize Kuwa salama mda wote.Tujilinde tuongozane maana yake ni kwamba tusipotezane tuelewane tukikutana tuishi.Katika matembezini tuendelee pamoja tujiongeze na TUFANYE.