Sasa hivi ukilala ukiamka mshukuru mwenyeziMungu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wakuu kifo kwa sasa kipo nje nje watu wamekuwa wakaidi halafu Mambo yanatisha Hali Ni tete.kila mtu na time yake.hatari sana yaani Mambo yamekuwa conk.kupotea Ni dakika sifuri kufa kupo tu ndani ya uso wa hii DUNIA.tunakatika na kupukutika kila kukicha siku ya kufa inakaribia.maisha yanazidi Kuwa ya wasiwasi pressure kubwa ukifa pole sana ila jitahidi ndugu yangu usisikitize usiumie mtu asikuumize Kuwa salama mda wote.Tujilinde tuongozane maana yake ni kwamba tusipotezane tuelewane tukikutana tuishi.Katika matembezini tuendelee pamoja tujiongeze na TUFANYE.
 
mbona hakuna cha ajabu??/ kufa n kufa 2, wamesha kufa mitume sembuse wew??
 
Taja dhima ya uzi wako, maana sijaelewa ni kipi unamaanisha mkuru.
 
Hapa suluhisho ni kuokoka tu maana hata nikifa Leo najua siku moja nitafufuliwa na kuishi pamoja na YESU katika Jerusalem mpya.

Duniani taabu imezidi watu wana roho mbaya, matajiri wanazidi kutajirika na koo masikini zinaendelea kuwa masikini

Back
Top Bottom