Hao wanaopinga ni madalali/wafanya biashara tu.Wabongo tuna tabu sana. Maana hata hatujui tunataka nini hasa...
Mchele ukipanda bei tunalalamika, na ukishuka bei tunalalamika...
Nilitaka nikupe mfano wa hiyo win win but kwa sababu sielewi ngoja twende mpaka mwisho huo mchele tunaoagiza ukifika.Wewe ndio huelewi
Bashe kashindwa kutengeneza Win Win situation kwa mkulima na Mlaji
Asante sana Bashe. We're should think about fee market. Were function is demand and supply of goods is considered. Ficheni mchele soko haliwasubiri. Ukitaka kusaidia watu wako hakikisha soko limejaa. Bei inajipanga yenyewe.Ninavyowajua Watanzania wanapenda vitu vya bei rahisi Bila kuzingatia ubora
Hiyo michele iliyofichwa na Wakulima soon inaenda kuwadodea
Bashe ajipime kama anatosha!
Ndugu,unataka waendelee kuficha Ili watu waendelee kuteseka na KUPANDA kwa BIDHAA hiyo ama?Ninavyowajua Watanzania wanapenda vitu vya bei rahisi Bila kuzingatia ubora
Hiyo michele iliyofichwa na Wakulima soon inaenda kuwadodea
Bashe ajipime kama anatosha!
Mbona hamueleweki Sasa. Alisema wakulima wauze nje mkalalamika eti bei huku ndani ni juu sana Sasa zinashuka mnalalamika tena, duhNinavyowajua Watanzania wanapenda vitu vya bei rahisi Bila kuzingatia ubora
Hiyo michele iliyofichwa na Wakulima soon inaenda kuwadodea
Bashe ajipime kama anatosha!
Huyu bwam huwa Bado hajielewi na sijamuelewa Yuko upande gani Ni Mara nyingi huwa anasema Bei ipae kufikanjuu Mara wkt mwingine anamlaumu waziriMkuu, mbona Umekigeuka Chama Sasa Hivi, Unapingana Na Ilani Iliyosema Kilogram Iwe Tshs 10000/=
Wakulima hawakuficha mchele wowote ndiyo maana sokoto haupatikaniNinavyowajua Watanzania wanapenda vitu vya bei rahisi Bila kuzingatia ubora
Hiyo michele iliyofichwa na Wakulima soon inaenda kuwadodea
Bashe ajipime kama anatosha!
Kwani, si watauza popote duniani wanapopenda wenyewe kama walivyoshauriwa na mtaalam wao Bashe. Shida iko wapi?Ninavyowajua Watanzania wanapenda vitu vya bei rahisi Bila kuzingatia ubora
Hiyo michele iliyofichwa na Wakulima soon inaenda kuwadodea
Bashe ajipime kama anatosha!
Hamnazo sisiWabongo tuna tabu sana. Maana hata hatujui tunataka nini hasa...
Mchele ukipanda bei tunalalamika, na ukishuka bei tunalalamika...
Tulikokuwa tunaelekea mchele Kg ilikuwa ufike 5K kwa sababu matumizi home huwa nanunua kila baada ya wiki mbili ila ndani ya hii miezi miwili nilikuwa kila nikienda imeongezeka Tsh 300/700.
Ila vizuri zaidi wangewawezesha wakulima walime kwa wingi kila mkoa hali ingetulia.
Sio wote ila zoba ni yule anayelalama bila maana kama huyo uliyemkusudia.Wabongo tuna tabu sana. Maana hata hatujui tunataka nini hasa...
Mchele ukipanda bei tunalalamika, na ukishuka bei tunalalamika...
Mimi simo kwenye hilo kundi tafadhali sana kakaHamnazo sisi
Aiseee halafu ndio shushushu anaetegemewa huyo ...Tatizo siyo mtoa mada bali akili yake imeshindwa kuchambua hadha ya kufichwa chakula, ugumu wa kupata mlo na wepesi wa kupata mlo.
Huyo huyo anaanzisha uzi 'mchele shs 3800kg bashe hafai' leo anaanzisha uzi 'Bashe anaangamiza mkulima' yaani ni hajui au anajifanya kusimama kati asionekane mpinzani.
Anang'ata na kupuliza!.