huoni kodi ikiporwa hapo?Kikubwa umepata mafuta mengine hayakuhusu
Sijawah chukua izo risiti,,,Tangu Rais wetu mpendwa aingie madarakani baadhi ya vituo vya mafuta havitoi receipt za ki eletronic. mfano ukienda PUMA kawe unaambiwa karatasi zimeisha, siku nyingine hakuna wino, ni mwezi sasa. PetroAfrica Bunju, unambiwa hakuna karatasi, Oilcom unambiwa machinembovu. Ni vituo vingi vinafanya hivyo.
TRA MPOOOOO
Jibu la kipumbavu kabisa!Kikubwa umepata mafuta mengine hayakuhusu
Kodi inalipwa?Kikubwa si umepata mafuta
Ova