Poleni wanao mshambulia Mama Samia, si lengo la kuleta mada hii, bali ni kutaka kutoa taarifa kwani mama km kiongozi hawezi kujua kila kitu bila raia wema kumsaidia. Sina uhakika km kuna kiongozi hapendi kukusanya kodi. sema watu wameanza ku relax
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.