Sasa inakuwa rasmi mafuta bila stakabadhi

Sasa inakuwa rasmi mafuta bila stakabadhi

Tangu Rais wetu mpendwa aingie madarakani baadhi ya vituo vya mafuta havitoi receipt za ki eletronic. Mfano ukienda PUMA kawe unaambiwa karatasi zimeisha, siku nyingine hakuna wino, ni mwezi sasa. PetroAfrica Bunju, unambiwa hakuna karatasi, Oilcom unaambiwa machinembovu. Ni vituo vingi vinafanya hivyo.

TRA MPOOOOO
we utakuwa sukuma gang
 
Labda uniambie zile mashine zimenajisiwa lkn ninachojua zile mashine ziko connected ukiweka mafuta Risiti inajiprint yenyewe Ila kama wamechezea mashine hapo nikweli
kama hupewi risiti, maanayake haijawa printed, na kwa maana hiyohiyo mashine haiko connected, so taarifa za kuuzwa mafuta hazifiki kwa Zakayo (Mtoza Ushuru).
 
Siku hizi ukisema kitu chochote cha kushauri unaitwa Sukuma gang sio vizuri kabisa. JPM alifanya mengi tu mazuri hata kama alikuwa na mapungufu
Hakuwa na mapungufu alikuwa na MABAYA labda uniambie KUBAMBIKIA KESI nakupoTEZA watu kwako wewe ni ndio MAPUNGUFU acheni ujinga jamaa was EVIL kama kuna Jambo alifanya but sio Hisani kama mnavyolazimisha watu waamini
 
umejibu OPP swali langu mkuu,kuvijua vijiji sio maana yake ndio una ndugu wanaokuhusu huko vijijini.
Kodi wakikusanya sawa
Wasipokusanya sawa
Kodi ilipwe isilipwe mambo yale yale

Ova
 
Kwani kabla ya mwenda zake kuingia madarakani kulikua hakukusanywi kodi?

Acha umama
Mmemezeshwa sumu na mwenda zake mkamuona yy ndie rais alieanzisha ukusanyaji wa kodi.
Hilo bichwa lako ni mzigo tu kwa mwili wako.
Sukuma Gang ww
Wewe kichwa kama nyanya masaru, mbona unajivua nguo!!!

Naona takko lako limechukua nafasi ya kichaa sasa.

Sent from my INE-LX1r using JamiiForums mobile app
 
Naomba kuuliza hili...
Printing ya zile risiti na upelekwaji data TRA una uhusiano upi? Kwamba usipotoa risiti data haziendi? Maana wa fuel station kile kitendo cha ku-punch kwenye pump, automatically una-punch kwenye EFD machine..
Nami nimemjibu jamaa namna hii labda aniambie mashine zimechezewa nitaelewa lkn sio kwamba hawatoi risit wanaokwepa ni wale unaenda anakwambia mashine mbovu
 
Tangu Rais wetu mpendwa aingie madarakani baadhi ya vituo vya mafuta havitoi receipt za ki eletronic. Mfano ukienda PUMA kawe unaambiwa karatasi zimeisha, siku nyingine hakuna wino, ni mwezi sasa. PetroAfrica Bunju, unambiwa hakuna karatasi, Oilcom unaambiwa machinembovu. Ni vituo vingi vinafanya hivyo.

TRA MPOOOOO
Dai risiti, ukipewa visingizio piga simu TRA
 
Duh vijana wa siku hizi kuna tatizo mahali sio bure.
 
Si umfuate kama unampenda sana
Siyo mtu, anamaanisha ule mfumo ambao watanzania tulishauzoea ambao ulikuwa ni wakizalendo umetoweka ghafla. Hivyo JPM ndiyo baba wa kusimamia na kuweka mifumo thabiti ya ulipaji kodi na mambo mengine. Kwa vile msimamizi amefariki hivyo kila kitu kimekufa. Sasa wewe unapokuja na maneno ya kilembwende. ETI SI UMFUATE KAMA UNAMPENDA SANA, kweli wewe ni punguani wa Head.
 
Kweli kabisa.
Mi nilidhani ni bahati mbaya. Leo nilikuwa nasafiri kuelekea Mtwara, nilipofika Nangurukuru nikaenda kujaza mafuta kwenye filling station iliyopo kulia baada ya mizani.

Nimeweka mafuta kama ya tsh 40000 nikamwambia muhudumu anipatie risiti.

Jamaa kajizungusha weeee mpaka nikashikwa na hasira na kuamua kuondoka nikidhani hajielewi kumbe ni mpango mkakati wao
Tangu Rais wetu mpendwa aingie madarakani baadhi ya vituo vya mafuta havitoi receipt za ki eletronic. Mfano ukienda PUMA kawe unaambiwa karatasi zimeisha, siku nyingine hakuna wino, ni mwezi sasa. PetroAfrica Bunju, unambiwa hakuna karatasi, Oilcom unaambiwa machinembovu. Ni vituo vingi vinafanya hivyo.

TRA MPOOOOO
 
Kweli kabisa.
Mi nilidhani ni bahati mbaya. Leo nilikuwa nasafiri kuelekea Mtwara, nilipofika Nangurukuru nikaenda kujaza mafuta kwenye filling station iliyopo kulia baada ya mizani.

Nimeweka mafuta kama ya tsh 40000 nikamwambia muhudumu anipatie risiti.

Jamaa kajizungusha weeee mpaka nikashikwa na hasira na kuamua kuondoka nikidhani hajielewi kumbe ni mpango mkakati wao
Mi 20 kwa bi sasha.

Sent from my INE-LX1r using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom