Sasa inakuwa rasmi mafuta bila stakabadhi

Sasa inakuwa rasmi mafuta bila stakabadhi

Mwendakuzimu mlimsema?
Leo kumbe mnajua kuna kumsema mtu enh? Ndorobo crocodile papasi kabisa mataga nyie!

Mama kapangua safu yote ya majambazi yaliyoachwa na marehemu jambazi kuu Pombe.
Ndio maana tunawaita nyie ni wapumbavu?

Kwa hiyo Kuna kiongozi nchi hii alikuwa hasemwi akikosea?

Huu upumbavu wa kutetea maovu kisa mahaba mnautoaga wapi?

Ukoo wako huko vijijini wanaliwa na umasikini alafu wewe na ukapuku wako unamtetea kisa chuki kwa Magufuli?
 
Mbona wakati Wa mwenda zake hamkusema.Na yalikuepo mwenda wazimu wewe .
Mlikua munaabudu na kusifu upuuzi aliokua anaufanya hapa ,acha umama ulionao
Acha upumbavu wewe!

Kuna mtu kasemwa nchi hii kama mwenda zake?

Endelea kutetea ujinga kisa chuki kwa Magufuli huku ukoo wako unaendelea kuliwa na umasikini.

Unafikiri selikali isipopata kodi mwathirika ni Magufuli na ukoo wake? Ni wewe na bibi yako, babu na ukoo wako kule kijijini.
 
Ndio maana tunawaita nyie ni wapumbavu?

Kwa hiyo Kuna kiongozi nchi hii alikuwa hasemwi akikosea?

Huu upumbavu wa kutetea maovu kisa mahaba mnautoaga wapi?

Ukoo wako huko vijijini wanaliwa na umasikini alafu wewe na ukapuku wako unamtetea kisa chuki kwa Magufuli?
Umasikini unaotafuna ukoo wangu umesababishwa na genge la majambazi la ccm, ambalo huyo mwendajehanam aliwahi kuliongoza tena kwa ufanisi mkubwa, wakaiba matrilion ambayo hayajawahi kuibiwa toka tupate uhuru.
Huyu mama at least tunaweza kuona mwanga ingawa naye wale wale tu
 
Tangu Rais wetu mpendwa aingie madarakani baadhi ya vituo vya mafuta havitoi receipt za ki eletronic. Mfano ukienda PUMA kawe unaambiwa karatasi zimeisha, siku nyingine hakuna wino, ni mwezi sasa. PetroAfrica Bunju, unambiwa hakuna karatasi, Oilcom unaambiwa machinembovu. Ni vituo vingi vinafanya hivyo.

TRA MPOOOOO
Mlimsema sana Hayati JPM kwa utaratibu sahihi wa kukusanya pesa ili nchi ijengwe,mmemrushia maneno mengi na lawama na sasa MUNGU anaanza kuwajibu maombi yenu.

waTanzania wengi hua hawajui wanataka nini,mtu akiwa mpole wanasema ni dhaifu,akiwa mkali na Imara wanasema ni dikteta. sasa hv mama ataanza kupata lawama kuhusiana na mafisadi hasa wafanya biashara hawa na watu wenye vyeo maofisini,wamezoea sana kuipiga nchi kama ya kwao vile,lakini mTanzania hanaga akili,nasema wengi hawana akili ya kujua mtu mwema ni nani mpaka aondoke
 
Acha upumbavu wewe!

Kuna mtu kasemwa nchi hii kama mwenda zake?

Endelea kutetea ujinga kisa chuki kwa Magufuli huku ukoo wako unaendelea kuliwa na umasikini.

Unafikiri selikali isipopata kodi mwathirika ni Magufuli na ukoo wake? Ni wewe na bibi yako, babu na ukoo wako kule kijijini.
Kwani kabla ya mwenda zake kuingia madarakani kulikua hakukusanywi kodi?

Acha umama
Mmemezeshwa sumu na mwenda zake mkamuona yy ndie rais alieanzisha ukusanyaji wa kodi.
Hilo bichwa lako ni mzigo tu kwa mwili wako.
Sukuma Gang ww
 
halafu kukiwa na ubovu wa barabara tukaombe msaada au tufanyeje?
Huku nakoishi sina barabara Yani kuna sehemu uwa natamani kubeba gari kichwani ndio nipite.
Sio wote tupo dar.
Huku kwetu barabara ni mbovu tayari tokea kitambo.
 
Ungeuliza kwanini kwanza kabla hujafikia huo uamuzi
Hilo jibu langu lina mengi ndani yake..
Hata kama umekutwa au kukumbana na jambo gani zito,Hilo jibu lako moja limeonyesha huna hekima,busara,uvumilivu,roho ya kusamehe...wengine wataongezea.

mind that perfection is not small thing but small things makes perfection.
 
Tangu Rais wetu mpendwa aingie madarakani baadhi ya vituo vya mafuta havitoi receipt za ki eletronic. Mfano ukienda PUMA kawe unaambiwa karatasi zimeisha, siku nyingine hakuna wino, ni mwezi sasa. PetroAfrica Bunju, unambiwa hakuna karatasi, Oilcom unaambiwa machinembovu. Ni vituo vingi vinafanya hivyo.

TRA MPOOOOO
Huu ujinga ukiendekezwa utaikosesha serikali mapato yake, ni bora TRA wafanye ambush za kutosha na zipigwe faini za kufa mtu.
 
Hata wewe yanakuhusu kwa sababu kodi inarudi kukusaidia wewe na ukoo wako.
Hakuna namna ya ukwepaji Kodi usipolipa kwenye mafuta utalipa kwenye chakula Acha pesa zirudi mtaani.
Mafuta si yanalipiwa kodi yakiingia Bandarini kwann mnunuzi atozwe tena kodi hii ni dabo tax ambayo uua uchumi.
 
Tangu Rais wetu mpendwa aingie madarakani baadhi ya vituo vya mafuta havitoi receipt za ki eletronic. Mfano ukienda PUMA kawe unaambiwa karatasi zimeisha, siku nyingine hakuna wino, ni mwezi sasa. PetroAfrica Bunju, unambiwa hakuna karatasi, Oilcom unaambiwa machinembovu. Ni vituo vingi vinafanya hivyo.

TRA MPOOOOO
TRA wanahusika vipi na kifo cha mpendwa⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️, mshtue mrithi la miradi mkubwa ataisikia kwenye hotuba za mtangulizi wake
 
Hii kama hali ndio hii si majanga au ndio ile ya spika kusema watu wajinafasi kwenye nchi yao?

TRA kama hawakusanyi mapato serikali inawalipa salary za nini?
Kodi inatakiwa ikusanywe kwenye uzalishaji na sio kwenye matumizi.Yaani too much kodi aisee unanunua kodi,unazalisha kodi,unauza kodi kitu hicho hicho kimoja tu kinakatwa kodi mara sita.Mbona utitiri wa makodi na makusanyo still haba.Kodi kubwa ni lzm makusanyo yawe haba, kodi inayolipika makusanyo huwa mengi.
 
Tangu Rais wetu mpendwa aingie madarakani baadhi ya vituo vya mafuta havitoi receipt za ki eletronic. Mfano ukienda PUMA kawe unaambiwa karatasi zimeisha, siku nyingine hakuna wino, ni mwezi sasa. PetroAfrica Bunju, unambiwa hakuna karatasi, Oilcom unaambiwa machinembovu. Ni vituo vingi vinafanya hivyo.

TRA MPOOOOO
Mbona hii kitu ipo sana hata toka kipindi cha JPM, sijui umeanza kuweka mafuta juzi? Kwa sio ambao stakabadhi ni muhimu tulikua tunapewa barua ambayo inapitishwa TRA ikieleza mtambo una shida. Sio kitu kigeni hata kidogo, This is too much jamani kuwa na fikra za namna hii.
 
una ndugu vijijini??
Unaendaga kuwatembelea na kuwajulia hali zao za maisha??

ukiongea haya usijiangalie wewe unaeishi mjini darisalama tu.
Naijua nchi hii mikoa,vijiji kwa asilimia 90
Kuhusu nchi hii labda mm ndy niwe mwalimu
Wako

Ova
 
Naijua nchi hii mikoa,vijiji kwa asilimia 90
Kuhusu nchi hii labda mm ndy niwe mwalimu
Wako

Ova
umejibu OPP swali langu mkuu,kuvijua vijiji sio maana yake ndio una ndugu wanaokuhusu huko vijijini.
 
Back
Top Bottom