Sasa inakuwa rasmi mafuta bila stakabadhi

Hapo umenena, oneman show hawezi kufika kila sehemu. ukilegeza tu watu wanaacha kwani siamini km TRA hawafiki kukagua,
 
Tutaenda sawa tu... Nawapa miezi 9 mbele kila kitu kitakuwa kimebadilika sana na kurudi enzi za Kikwete kabisa
 
Risiti inakusaidia nini?
 
kwa baadhi ya majibu ya hapa bado tuko mbali sana!
sieelewi watu wanafurahije kuibiwa? tusije kulaumu serikali inaposhindwa kumudu kujiendesha kwa ajili ya makusanyo madogo ya kodi.
 
Hata wewe yanakuhusu kwa sababu kodi inarudi kukusaidia wewe na ukoo wako.
Ninyi Mataga,
Hamjui kuwa mafuta hayawezi kutoka bila kutoa risiti?

Sukuma Gang zinaluka na kukanyagana.
 
Risiti ni mali yako labda ukute mashine ni mbovu na kama mashine ni mbovu unarudi siku nyingine unachukuwa risiti yako. Kwa namna hizi mashine zilivyotengenezwa pamoja na card za pump hutunza kumbukumbu hata miezi sita na siku ukiweka karatasi au wino itatoa risiti zote ambazo zipo pending labda itokee mashine imechezewa.
Lakini kukuta kituo mashine haifanyi kazi either kwa ukosefu wa rolls au wino haimanishi huyo anaiba na kama mashine ni mbovu huwa wanandika barua TRA ili mauzo yaendelee. Kwa wale tulio kwenye industrial ya sheli tunafahamu vizuri utendaji kazi wa hivi vifaa, kumbuka hivi ni electronics system hivyo siyo kwamba vitafanya kazi muda wote kwa mwaka bila kuharibika, kama umenyimwa risiti kwa sababu isiyoeleweka toa taarifa TRA hilo ni kosa kubwa sana
 
"Kodi za nguvu hatutaki, mwisho wa mwaka wata leta tu wenyewe, tukitumia nguvu wataondoka na kufunga biashara"
 
Acheni ujinga siyo kila anaeleata mada kumsaidia mama anakuwa msukuma, hapa tunataka mapato siyo issue ya usukuma hapa. acheni kuleta cheap reasoning.
Hiyo post yako inausukuma,
Inshu ya kutotoa risiti ktk baazi ya sheli ilikuepo kabla ya mwenda zake hajafa. Acha kumchafua mama
 
Ungeuliza kwanini kwanza kabla hujafikia huo uamuzi
Hilo jibu langu lina mengi ndani yake..
Kwa heshima yako hapa jukwaani....ungepaswa jibu lako liambatane na maelezo ili watu wanaojifunza kupitia wewe hapa jamvini waondokane na ukakasi huo..........suala la makampuni kukwepa kodi sio la kisiasa bali ni la waTanzania wote kwa kuwa Tanzania ni ya wote...........wanaoshabikia ukwepaji wa kodi ndio hao hao watakaolalamikia ubovu wa miundominu na huduma duni za afya kwenye vituo vya serikali.......huu ni UNAFIKI wa waTanzania...
 
Siku hizi ukisema kitu chochote cha kushauri unaitwa Sukuma gang sio vizuri kabisa. JPM alifanya mengi tu mazuri hata kama alikuwa na mapungufu
 
Umemtendea haki sana Alhaji Malik El-Shabazz kwenye DP.
 
Tulia hela irudishwe mtaani kama wasemavyo bavicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…