Sasa kaka, mtanipeleka wapi au ndio basi tena?

Sasa kaka, mtanipeleka wapi au ndio basi tena?

Muhusika: Mdogo wangu kamaliza form four
Issue: Kwa matokeo yake alopata, what next? Kaniuliza kama kaka yake.

Matokeo yake yakoje: Haya hapa:
Civics C ... History D... Geography D ... Kiswahili B ... English C ... Lit. Eng C ... Chemia D ... Biology D ... Mathematics F.

Nimesikia ili uendelee form five unatakiwa kuwa na walau C masomo matatu (naona katimiza hapo)

Hivi anaweza kuchaguliwa kweli form five kwa score hizo? Anaweza kwenda combination gani, maana anasema alikua darasa la sayansi.

Hivi tukisema tumpeleke vyuo vya certificate ana qualify kusomea nini hapo, au chochote?
View attachment 2083870
Ana ufahulu wa kwend advance katimiz point 9 kwa hkl ila nadhan serikal itampangia college from my experience kwa watu weng wanaopata division 3.

Kama anataka advance basi itabid aende private ni vizur mkajipanga Kwa yote
 
Ukihitaji shule ya form five 2022 private zilizopo mkoania Kilimanjaro nitafute mkuu zipo shule nzuri sana kwa kijana wako

Calls and whatApp
0764616353
 
Back
Top Bottom