sudan iii
JF-Expert Member
- Sep 3, 2018
- 263
- 323
Ana ufahulu wa kwend advance katimiz point 9 kwa hkl ila nadhan serikal itampangia college from my experience kwa watu weng wanaopata division 3.Muhusika: Mdogo wangu kamaliza form four
Issue: Kwa matokeo yake alopata, what next? Kaniuliza kama kaka yake.
Matokeo yake yakoje: Haya hapa:
Civics C ... History D... Geography D ... Kiswahili B ... English C ... Lit. Eng C ... Chemia D ... Biology D ... Mathematics F.
Nimesikia ili uendelee form five unatakiwa kuwa na walau C masomo matatu (naona katimiza hapo)
Hivi anaweza kuchaguliwa kweli form five kwa score hizo? Anaweza kwenda combination gani, maana anasema alikua darasa la sayansi.
Hivi tukisema tumpeleke vyuo vya certificate ana qualify kusomea nini hapo, au chochote?
View attachment 2083870
Kama anataka advance basi itabid aende private ni vizur mkajipanga Kwa yote