GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Baada ya kumalizana na Simba SC, winga Aubin Kramo inadaiwa yupo hatua za mwisho kurejea Asec Mimosas ya Ivory Coast aliyokuwa akiichezea kabla ya kusajiliwa Msimbazi msimu uliopita.
Inadaiwa kuwa mabosi wa Asec ameanzisha mazungumzo na Krabo baada ya kusikia anaachwa, licha ya awali kudaiwa huenda angeenda klabu za Afrika Kaskazini na dili hilo lipo pazuri.
Chanzo: mwanaspoti_tz
Yaani Mkongwe Upara wa Jirani na Kigoma alimtesa sana Kramo wa Watu kwa kumuibia Jezi yake ya Juu na Njumu.