GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkongwe Upara wa Jirani na Kigoma.Fungua code kidogo unamaaanisha Saidooo?
Kwamba Godfather wa Shibitoke no mchawi da Kramo mwenye miguu ya kioo?Fungua code kidogo unamaaanisha Saidooo?
Mkongwe Upara wa Jirani na Kigoma.Kwamba Godfather wa Shibitoke no mchawi da Kramo mwenye miguu ya kioo?
Kwamba katika màisha yako yote na safari za nje ya Nchi Kenya, Uganda, Rwanda, Canada na juzi umetoka Peru hujawahi kusikia Wachezaji wanaoitwa "Player with plastic legs?"Mkongwe Upara wa Jirani na Kigoma.
Yakoub Sogney anamjua vizuri huyo mtuKwamba Godfather wa Shibitoke no mchawi da Kramo mwenye miguu ya kioo?
Mbukinabe alikoma guu lilikuwa haliponi hadi alivyoachwaMkongwe Upara wa Jirani na Kigoma.
Kaptein mstaafu staili za kuiba jezi za wachezaji hatari kwake mfano mugalu,bareke,phiri n.k huifanya kwa kushirikiana na watunza vifaa habari hizi tulipewa na kocha wa zamani wa makipa wa Simba ambae maskani yake ni kwa Heri Mzozo maeneo ya friends corner Kagera.Baada ya kumalizana na Simba SC, winga Aubin Kramo inadaiwa yupo hatua za mwisho kurejea Asec Mimosas ya Ivory Coast aliyokuwa akiichezea kabla ya kusajiliwa Msimbazi msimu uliopita.
Inadaiwa kuwa mabosi wa Asec ameanzisha mazungumzo na Krabo baada ya kusikia anaachwa, licha ya awali kudaiwa huenda angeenda klabu za Afrika Kaskazini na dili hilo lipo pazuri.
Chanzo: mwanaspoti_tz
Yaani Mkongwe Upara wa Jirani na Kigoma alimtesa sana Kramo wa Watu kwa kumuibia Jezi yake ya Juu na Njumu.
Uko sahihi na walishawahi hata kutaka Kuzichapa Klabuni ila Juma Pondamali akawaamulia ila Bifu liliendelea mno tu.Yakoub Sogney anamjua vizuri huyo mtu
Na siku aliyoachwa tu hakukaa hata muda mrefu tatizo lake likapona kabisa.Mbukinabe alikoma guu lilikuwa haliponi hadi alivyoachwa
Basha wako.Popoma