Sasa kushusha bei nyumba za NHC hasara ni ya nani?

Sasa kushusha bei nyumba za NHC hasara ni ya nani?

Bei za vitu kushuka ni ishara ya biashara na uchumi kudorora.
 
Hapo hakuna hasara kwa sababu mkopo walizokopa benki kuzijengaa riba inazidi kuzaliana tuuu.mwisho itakiwa pata potea
 
Watanzania kuwaibia ni simple sana mfano kiatu kinachouzwa sh 100 ukimwambia mtanzania umempunguzia badala ya hicho kiatu kuuza 200 we mwambie unauza 150 uone atakavyoshoboka kumbe ni kiatu chenye thamani ya 100.Same case na issue ya nyumba,kiuhalisia hizo nyumba za NHC nyumba unayoambiwa ni ya mil 60 ukinipa mimi hela najenga nyumba nzuri zaidi ya hiyo kwa mil 30 tu.Kwa hiyo jamaa kushusha bei hakuna hasara wanayopata sema "FAIDA MARADUFU" ndo imepungua kidogo. Watanzania tuache uzwazwa.
 
Kwa hiyo we unatakaje kwani mkuu,hiyo mil 60 ni halisi au ndio kila kitu kupingapinga tu??
 
Jana nilisikia nyumba za National Housing kushushwa bei kwa mfano nyumba iliyokuwa imepangwa kuuzwa Tsh. 60 Million itauzwa chini ya Tsh 40 Million.

Moyoni nkajiuliza hilo pengo hapo katikati ni hasara kwa nani?
Faida kwetu sisi wanyonge
 
Jana nilisikia nyumba za National Housing kushushwa bei kwa mfano nyumba iliyokuwa imepangwa kuuzwa Tsh. 60 Million itauzwa chini ya Tsh 40 Million.

Moyoni nkajiuliza hilo pengo hapo katikati ni hasara kwa nani?
Kwa chama
 
Hizi nyumba ni Bora wazitoe kwa Serikali kwa ajili ya kuishi watumishi wa Umma hasa watumishi wa Afya, waishi humo wachangie kodi kidogo kuliko zimebaki idle hazikaliwi na mtu.
 
Back
Top Bottom