Faida kwetu sisi wanyongeJana nilisikia nyumba za National Housing kushushwa bei kwa mfano nyumba iliyokuwa imepangwa kuuzwa Tsh. 60 Million itauzwa chini ya Tsh 40 Million.
Moyoni nkajiuliza hilo pengo hapo katikati ni hasara kwa nani?
Kwa chamaJana nilisikia nyumba za National Housing kushushwa bei kwa mfano nyumba iliyokuwa imepangwa kuuzwa Tsh. 60 Million itauzwa chini ya Tsh 40 Million.
Moyoni nkajiuliza hilo pengo hapo katikati ni hasara kwa nani?