Sasa LHRC tumewaelewa

Sasa LHRC tumewaelewa

Nachelea kusema kwamba swali/andiko langu la kwanza umelisoma kwa kukulupuka, hukunielwa.

Nilichotaka kutoka kwako ni kifupi tu: WEWE BINAFSI, ULOSHIRIKI VIPI KUMPATA MWAKILISHI WAKO KATIKA BMK...

Mimi sikuhitaji elimu ninayoijua niipate tena kutoka kwako.

NI VIZURI KURUDIA MARA KADHAA ANDIKO LA MTU KABLA HUJAMJIBU...

Tafakari...

Wajumbe wa BMK walipatikana kwa njia halali kwani liliundwa na watu kutoka matabaka yote wakiwemo wajumbe waliochaguliwa na wananchi, wa viti maalum, pamoja wajumbe walioteuliwa na Rais.

Zaidi ya hayo BMK lilikuwa na makundi matatu ambayo ni Wabunge wa kuteuliwa, wabunge wanaotokana na majimbo ya uchaguzi pamoja na wabunge wa kutoka katika asasi mbalimbali za kiraia kama vile wakulimaa, wavuvi, waaandishi wa habari, wafugaji ambapo hawa wooote, wanafikisha idadi ya Wabunge 640 ambao wananchi ndiyo waliwaamini wawe wawakilishi wao. Kazi yao hawa ilikuwa kutunga Katiba iliyoongozwa na Rasimu ya Tume ya Katiba.

Kuhusu swali lako la "WEWE BINAFSI, ULOSHIRIKI VIPI KUMPATA MWAKILISHI WAKO KATIKA BMK" Kama umri wako ulikuwa zaidi ya miaka 18 mwaka 2010 na ulipiga kura, kwa njia hiyo ulishiriki kumchagua mbunge wa jimbo lako analokuwakilisha, hivyo ulishiriki kumpata mjumbe huyo, na namna nyingine ni wajumbe 201 walivyopatikana. Hawa walitoka miongoni mwa makundi mbalimbali, kama ulikuwa mshiriki mzuri katika kundi lako ulihusika kuwapata wajumbe hao maana wamepatikana kutoka miongoni mwetu.

Dhana ya kusema kuwa mambo fulani yametolewa kwenye Rasimu ya Warioba, Kazi ya Bunge Maalumu haikuwa na kazi ya kupitisha Rasimu, Kazi yake ilikuwa kuchambua na kuandaa Katiba Inayopendekezwa. Warioba hakutunga katiba, yeye aliandika mapendekezo tu, chombo chenye mamlaka kisheria ya kutunga katiba kilikuwa ni Bunge Maalum la Katiba tuu na si vinginevyo, BMK kupitia Sheria ya tangazo la serikali NA. GN. 254 lilipewa mamlaka ya bunge kuendelea na shughuli zake. Pia kifungu cha 25 cha Sheria ya katiba, BMK lilikuwa sahihi kufanya marekebisho yoyote pale palipohitjika ndiyo maana asilimia 75 ya masuala yote yaliyokuwepo kwenye Rasimu ya Katiba yamebaki na asilimia 25 yamefanyiwa maboresho ili yakidhi matakwa ya wananchi.

Msingi wa mambo yote hayo ya Katiba Inayopendekezwa nchini ni Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2011.
 
Ww ni samwel sitta mzee mnafiki wa hali ya juu
Nadhani humu Jf Sio sehemu ya kujadili mtu binafsi bali hoja zenye maslahi kwa taifa,hebu kama mtu ana ishu binafsi atafute uwanja mwingine,samahani najua uelewa wetu unatofautiana ila sio mbaya kukumbushana
 
#Mwasi #Mwakenda ,
Kwenye signature yako, huhitaji kuisoma katiba pendekezwa kuijua kama ni mbovu ama nzuri, jibu liko wazi kabisa vinginevyo hata redio hujawahi kusikiliza, runinga hujawahi kuona ama kusikiliza, mijadala mbali mbali vilabuni, mikutano ya hadhara hujawahi kuhudhulia au kusikia etc!

Miaka ya nyuma kwenye elimu ya st Kayumba, mwanafunzi mfn wa darasa la tano alitakiwa kusoma wastani wa masomo saba kwa mwaka na wengi walikuwa hawamalizi kitabu cha somo husika. Hii maana yake ni nini, maana yake ni kwamba kama mwalimu na mwanafunzi wote wako smart mwanafunzi alitumia muda wa zaidi ya mwezi mmoja na nusu kusoma kitabu kimoja. Lakini je, alikuwa anaelewa vizuri? Je, pamoja na kuelewa ama kutokuelewa kwa mwanafunzi huyo na kutumia muda huo ni miujiza gani itumike mwananzengo kuzisoma na kuzitafsiri sheria na kanuni lukuki zinazoguswa na katiba?

Katika watanzania wenye sifa ya kupiga kura (umri zaidi ya miaka 18 as of 30th April 2015) ni asilimia ngapi wanajua kusoma achilia mbali kuelewa wanacho soma na hususani sheria?

Binafsi, pamoja na kwamba najua ni haki ya kila raia na kuna nyimbo nyingi zinaibwa na wapiga debe wa NDIYO kwa katiba pendekezwa, naona hakuna uwezekano wa katiba hii kutungwa, kupitiwa, kuamuliwa na watanzania wote! Hakuna kitu kama hicho ila inabaki tu kama wimbo na maneno ambayo hayawezi kuhalisiwa bila shaka. Tumeona hata serikali yenyewe yenye wanasheria na watalaam kibao wanashindwa kwenye kesi, idadi ya kesi walizoshinda ni kiduchu ukilinganisha na ile waliyoshinda vinginevyo waseme wanaamua kushindwa kulinda maslahi yao na hakuna wanacho poteza kwa vile hawana uzalendo!

Pamoja na hayo bado watanzania wengi hawana uelewa wa mambo ya kisheria, iweje leo watunge sheria? Ni hadaa tu. Jopo la akina walioba lilitosha! Bunge maalumu la katiba bure kabisa!
 
Pole sana kwa kutoka usingizini. Wewe ni mmoja kati ya wanaogeuka geuka wakati wameshaanza mwendo. Umesahau kuwa kuna sheria iliyoanzisha hayo?

Msingi wa mambo yote hayo ya Katiba Inayopendekezwa nchini ni Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2011.
Iweje leo tunageuka mwishoni wakati woote kazi imeenda vizuuri, acha tabia ya ukigeu geu jenga nchi yako.
 
Katiba inayopendekezwa haina shida na ni bora kwa maslah ya taifa ndio maana hawa jamaa wanakomaa na sheria.....na ndio maana wanatoa hoja za ajabu zisizoeleweka....kama wewe unaupeo wa kuelewa na hauna mawazo mgando wasikilize hawa jamaa sasa hivi ITV

imetia mashaka kwenye uandaaji wake.....
watu tuna mashaka nayo.
 
#mwasi #mwakenda ,
kwenye signature yako, huhitaji kuisoma katiba pendekezwa kuijua kama ni mbovu ama nzuri, jibu liko wazi kabisa vinginevyo hata redio hujawahi kusikiliza, runinga hujawahi kuona ama kusikiliza, mijadala mbali mbali vilabuni, mikutano ya hadhara hujawahi kuhudhulia au kusikia etc!

Miaka ya nyuma kwenye elimu ya st kayumba, mwanafunzi mfn wa darasa la tano alitakiwa kusoma wastani wa masomo saba kwa mwaka na wengi walikuwa hawamalizi kitabu cha somo husika. Hii maana yake ni nini, maana yake ni kwamba kama mwalimu na mwanafunzi wote wako smart mwanafunzi alitumia muda wa zaidi ya mwezi mmoja na nusu kusoma kitabu kimoja. Lakini je, alikuwa anaelewa vizuri? Je, pamoja na kuelewa ama kutokuelewa kwa mwanafunzi huyo na kutumia muda huo ni miujiza gani itumike mwananzengo kuzisoma na kuzitafsiri sheria na kanuni lukuki zinazoguswa na katiba?

Katika watanzania wenye sifa ya kupiga kura (umri zaidi ya miaka 18 as of 30th april 2015) ni asilimia ngapi wanajua kusoma achilia mbali kuelewa wanacho soma na hususani sheria?

Binafsi, pamoja na kwamba najua ni haki ya kila raia na kuna nyimbo nyingi zinaibwa na wapiga debe wa ndiyo kwa katiba pendekezwa, naona hakuna uwezekano wa katiba hii kutungwa, kupitiwa, kuamuliwa na watanzania wote! Hakuna kitu kama hicho ila inabaki tu kama wimbo na maneno ambayo hayawezi kuhalisiwa bila shaka. Tumeona hata serikali yenyewe yenye wanasheria na watalaam kibao wanashindwa kwenye kesi, idadi ya kesi walizoshinda ni kiduchu ukilinganisha na ile waliyoshinda vinginevyo waseme wanaamua kushindwa kulinda maslahi yao na hakuna wanacho poteza kwa vile hawana uzalendo!

Pamoja na hayo bado watanzania wengi hawana uelewa wa mambo ya kisheria, iweje leo watunge sheria? Ni hadaa tu. Jopo la akina walioba lilitosha! Bunge maalumu la katiba bure kabisa!

josam nilikua nasoma humu ndani kwa makini nikajua umekuja na kitu kipya kitusaidie kumbe na wewe umeleta utumbo,umepotea njia tafuta forum nyingine ukawasilishe hoja zako kibao za kilabuni, samahani kama ntakua nimekuudhi,nenda kapimwe akili wewe sio mzima.

Kwa taarifa yako mchakato wa kupata katiba mpya ni wa wananchi wala sio wa kikundi cha warioba, hapa hana nafasi kabisa na unaposema watanzania wengi hawana uelewa wa mambo ya kisheria unaleta dharau wewe ndio hujielewi usituletee mawazo ya kidikteta na mawazo yako mgando.
 
Pole sana kwa kutoka usingizini. Wewe ni mmoja kati ya wanaogeuka geuka wakati wameshaanza mwendo. Umesahau kuwa kuna sheria iliyoanzisha hayo?

[FONT="]Msingi wa mambo yote hayo ya Katiba Inayopendekezwa nchini ni Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2011.[/FONT]
Iweje leo tunageuka mwishoni wakati woote kazi imeenda vizuuri, acha tabia ya ukigeu geu jenga nchi yako.[FONT="][/FONT]

Unajenga nchi wewe?? Sema mnaibomoa kwa kasi ya kutisha!
 
josam nilikua nasoma humu ndani kwa makini nikajua umekuja na kitu kipya kitusaidie kumbe na wewe umeleta utumbo,umepotea njia tafuta forum nyingine ukawasilishe hoja zako kibao za kilabuni, samahani kama ntakua nimekuudhi,nenda kapimwe akili wewe sio mzima.

Kwa taarifa yako mchakato wa kupata katiba mpya ni wa wananchi wala sio wa kikundi cha warioba, hapa hana nafasi kabisa na unaposema watanzania wengi hawana uelewa wa mambo ya kisheria unaleta dharau wewe ndio hujielewi usituletee mawazo ya kidikteta na mawazo yako mgando.

Mawazo mgando???? Sina haja ya kubishana nawe.
 
Jile..kiluvya hiyo katiba ni ya watanzania na tuliwachagua wenyewe kwenda bungeni kutuwakilisha waliokuwa zaidi ya 600......sasa nakuwa na wasiwasi na hata akili zenu kama kweli mlifuatilia hilo bunge au la

Naamini wananchi waliokuwa wengi hawakuhusika moja kwa moja kuwachagua wale wabunge wa BMK....ila hicho sio kigezo sana katika hili kwamaana hawakuenda kule kwa ajili ya kutuletea mataputapu kama haya wanayotulazimisha kuyapitisha hata kama tunaweza kutapika.

Kwanini tushindwe kutumia upeo wa akili alotujaria M/Mungu badala yake tunatumia akili za watu wengine hata kama hazina mantiki.
 
UPEO WA AKILI YAKO NDO UMEFIKIA HAPO KWA KIFUPI UMESHINDWA KUJIBU HOJA UNAANZA MATUC, MATUC HAPA SI MAHALA PAKE KATUKANE HUKO KWENU MLIPOZOEA KUTUKANANA. Pole sana.

Mbona una id nyingi sana na font type na size ni ile ile hasa kwenye thread zote za katiba? Umelipwa nini?
 
Wewe kuwa mjumbe au kutokuwa mjumbe wa BMK hakuniongezei wala kunipunguzia chochote kwa sababu sikushiriki katika uteuzi/uchaguzi.

Ninachokiona kwako ni tabia zile zile za akina zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa ccm, watu wasiotaka kuyatazama mambo kwa jicho la tatu, watu wanaosubiri wengine wafikiri na kuamua kwa niaba yao, watu wa pangu pakavu tia mchuzi, mashabiki wanaosema ndiyo kwa kila kinachosemwa na kutendwa na hao walioshika akili na fahamu zao...

Nimekuona kama mwanafunzi anayejibu swali kutokana kukariri na siyo kuelewa...

Huna tofauti na Livingstone
Huna tofauti na Asumpta...

Tafakari...

Intojanda, achana na huyo book 7 atakupotezea muda wako bure, yeye yupo kazini unajua!!!!!
 
Kaolewe huko c umetaka chai kwann ulalamike unaungua? Usivamie msitu kwa kiwembe WE UNAKURUPUKA UTADHANI UNAENDA KUKINGA CHAKULA CHA NJAA!!
Ok man, you may do the same. Nimegundua naongea na kichaa hapa. Bye! You may insult me wherever you want, but that's the truth because your narrative doesn't show that you are civilian. Endelea na upoyoyo wako
 
Back
Top Bottom