MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Vipi hii biashara ya nyeti???😛😛Wazanzibari wamedai madaraka yao wee mpaka wamechoka, leo hii sisi wantanganyika tumekunwa kidogo ndo tunawaelewa wazanzibari maumivu waliyo yapitia miaka yote hyo.
Na bado, Ataanza kuuza mpaka Tezi dume zetu
nonsense,Warioba aliwahi kusema CCM waipe Tanganyika mamlaka yake Kabla watu hawajaidai.
Maandamano yote yajayo yanakuja na hoja ya "Free Tanganyika".
Sasa imagine Rais kutoka Zanzibar unawazuiaje Watanganyika kuidai nchi waliyokualika tu. CCM itatuma machawa wake kuongea nini.
Hatimaye hatari aliyoiona Warioba imefika
Wazanzibari wanataka nchi yao soon tunawachocheanonsense,
hao watanganyika mko wangapi kwanza mzee?
ni wewe, warioba, mzee slaa na mzee lwaitama tu, si ndio?
mtawezana na waTanzania zaidi ya milioni 70 sasa?
labda unachochea kuni za kukaangia mihogo gentleman,Wazanzibari wanataka nchi yao soon tunawachochea
Jambo moja CCM walikosea ni kutoruhusu Muungano kujadiliwa hasa na kundi la vijanalabda unachochea kuni za kukaangia mihogo gentleman,
hivi vizee vya tanganyika mko wangapi lakini the muzee?
Tanganyika ni title tu, hata tukishaipata haya matatizo ya kiuchumi yataendelea kuwepo kila kukicha.Warioba aliwahi kusema CCM waipe Tanganyika mamlaka yake Kabla watu hawajaidai.
Maandamano yote yajayo yanakuja na hoja ya "Free Tanganyika".
Sasa imagine Rais kutoka Zanzibar unawazuiaje Watanganyika kuidai nchi waliyokualika tu. CCM itatuma machawa wake kuongea nini.
Hatimaye hatari aliyoiona Warioba imefika
Gentleman,Jambo moja CCM walikosea ni kutoruhusu Muungano kujadiliwa hasa na kundi la vijana
Inakuwaje Zanzibar yenye watu 1M inatoa Rais wa muungano tena kwa kurithiGentleman,
tunayo mpaka wizara inayoshughulikia mazingira na muungano,
iweje upotoshe wadau wa JF kwamba muungano haujadiliwi?
kwahiyo unataka kuendelea kupotosha kwamba bajeti ya wizara inayohusika na masuala ya muungano inapitishwa na bunge bila kujadiliwa?
ni muhimu sana kufuatilia mambo haya kwa karibu gentleman,
na nikuhakikishie tu kwamba hayupo wa kuuvunja muungano na kamwe muungano hautavunjwa kwa sababu yoyote ile hata ukamilifu wa dahari.
idadi ya watu haikua msingi wa Muungano wa Tanzania gentleman,Inakuwaje Zanzibar yenye watu 1M inatoa Rais wa muungano tena kwa kurithi
iitishwe kura huru na ya haki ndipo utajua hoa watanganyika wako wangapi!nonsense,
hao watanganyika mko wangapi kwanza mzee?
ni wewe, warioba, mzee slaa na mzee lwaitama tu, si ndio?
mtawezana na waTanzania zaidi ya milioni 70 sasa?
hakuna haja ya kupoteza muda na vitu useless kama hivyo gentlemaniitishwe kura huru na ya haki ndipo utajua hoa watanganyika wako wangapi!
Tena tutaendelea na hizi mada mpaka wazanzibari waishi kwa mashaka Tanganyika.hakuna haja ya kupoteza muda na vitu useless kama hivyo gentleman
okey,Tena tutaendelea na hizi mada mpaka wazanzibari waishi kwa mashaka Tanganyika.
Sasa Hivi tunaenda kutafsiri video na vipindi vilivyotumika Rwanda mwaka 1994 kuhakikisha watu wanainuka kudeal na Wazanzibari
nonsense,
hao watanganyika mko wangapi kwanza mzee?
ni wewe, warioba, mzee slaa na mzee lwaitama tu, si ndio?
mtawezana na waTanzania zaidi ya milioni 70 sasa?