Kama kupata usahihi wa jambo ni useless then usi - conlude jambo ambalo huna usahihi nalo.hakuna haja ya kupoteza muda na vitu useless kama hivyo gentleman
Kama kupata usahihi wa jambo ni useless then usi - conlude jambo ambalo huna usahihi nalo.hakuna haja ya kupoteza muda na vitu useless kama hivyo gentleman
Nyerere alikurupukaTanganyika ilifanya kosa kubwa sana kuungana na Zanzibar.
Kwani Zanzibar sio Tanzania?Inakuwaje Zanzibar yenye watu 1M inatoa Rais wa muungano tena kwa kurithi
Wazanzibari wanayo nchi yao, it's time kuuvunja kabisa Muungano ambao kiuhalisia hauna faida yoyote kwa Watanganyika.Wazanzibari wamedai madaraka yao wee mpaka wamechoka, leo hii sisi wantanganyika tumekunwa kidogo ndo tunawaelewa wazanzibari maumivu waliyo yapitia miaka yote hyo.
Na bado, Ataanza kuuza mpaka Tezi dume zetu
usahihi upi gentleman,Kama kupata usahihi wa jambo ni useless then usi - conlude jambo ambalo huna usahihi nalo.
Tanganyika ndio inautaka huu muungano, wezetu ZNZ waliupinga tokea 2000Wazanzibari wanayo nchi yao, it's time kuuvunja kabisa Muungano ambao kiuhalisia hauna faida yoyote kwa Watanganyika.
hakuna hiyo nonsense gentleman,Crippled brain.
Hakuna mtanganyika mwenye kuona umuhimu wa huu Muungano, labda ninyi machawa ambao matumbo yenu yanategemea uchawa. Ninyi hamfikirii chochote cha maana zaidi ya matumbo yenu.
Ukichukulia kigezo hiki ni kwa nini Katiba hakutaja lazima Rais au Makamu wawe WamaasaiKwani Zanzibar sio Tanzania?
Wazanzibari wao huwa hawajiiti Watanzaniahakuna hiyo nonsense gentleman,
waTanzania tupo zaidi ya milioni70 na tunaongezea kwa kasi sana daily, hakuna muda wala wasaa wa kubabaika na mahistoria useless kama hayo gentleman
Hayakuwepo, hakuna na wala hayatakuwepo majuto ndani ya JMT sasa na wakati ujao,Wazanzibari wao huwa hawajiiti Watanzania
Huwa wanajiuliza mbona Zanzibar ipo lakini hakuna TanganyikaSijui nani anawapa jeuri hawa watoto wa miaka ya tisini kuitaka Tanganyika kana kwamba wanaijua sana kuliko wakubwa zao wa miaka ya sitini kabla ya muungano. Watoto hawa wameinuka na kuitetea kwa kasi kubwa Tanganyika, wanaitaka hawatanii
Zenji wanaoupinga/waliokuwa wakiupinga ni Wapemba tu, Waunguja wanaung'ang'ania wanaogopa kuja kugeuzwa watwana na 'Wamanga'. Hawa watu nimeishi nao kwa miaka mingi, Muunguja anaona ni bora Mtanganyika kuliko Mpemba. Wapemba wanajiamini, hawaitegemei CCM na ni wapambanaji. Wapemba hawayatambui mapinduzi ya John Okello(Nyerere/Karume).Tanganyika ndio inautaka huu muungano, wezetu ZNZ waliupinga tokea 2000
Mbona bado unaidai CCM posho ya mwezi wa pili na wa tatu! Unauhakika wa nne utalipwa?nonsense,
hao watanganyika mko wangapi kwanza mzee?
ni wewe, warioba, mzee slaa na mzee lwaitama tu, si ndio?
mtawezana na waTanzania zaidi ya milioni 70 sasa?
Kuna wakati Scotland walifanya referendum ya kutaka kujitenga na England after 300+ yrs ya muungano. Iko shida gani ya kufanya referendum ya huu muungano wetu. Wengi wakisema tunataka kuendelea hivi nani atakuwa na ubavu wa kupinga?usahihi upi gentleman,
unajua Tanzania ina miaka mingapi tangu tupate uhuru?
kutakua na mtanganyika aliechini ya hali ya mzee slaa, lwaitama au warioba kweli?
unadhani nchi nzima wanaweza kuzidi mia1?
sasa unapoteza muda kwa kitu ambacho hakina maana kwanini?
You are very right. Tunaitaka Tanganyika yetu. Samia arudi kwaoWarioba aliwahi kusema CCM waipe Tanganyika mamlaka yake Kabla watu hawajaidai.
Maandamano yote yajayo yanakuja na hoja ya "Free Tanganyika".
Sasa imagine Rais kutoka Zanzibar unawazuiaje Watanganyika kuidai nchi waliyokualika tu. CCM itatuma machawa wake kuongea nini.
Hatimaye hatari aliyoiona Warioba imefika
Posho zimekwama huko Lumumba.Mbona bado unaidai CCM posho ya mwezi wa pili na wa tatu! Unauhakika wa nne utalipwa?