Tetesi: Sasa Magufuli hataki kusindikizwa na kupokelewa na msururu wa watu

Tetesi: Sasa Magufuli hataki kusindikizwa na kupokelewa na msururu wa watu

HNIC

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
1,898
Reaction score
2,197
The word from Magogoni is Kamanda hataki mambo ya waste ya kusindikizwa na na kupokelewa na msururu wa waheshimiwa ambao wanaacha kazi kumsindikiza na kumpokea.

Hoja yake ni kuwa kuna kuwa huu msururu unasababisha utendaji wa kazi wa serikali na maendeleo kwa nchi na jiji la Dar es salaam kutakana na foleni na waste of time kwa watu

On average Kamanda kila aki safiri kwenda au kurudi mikoani au nje ya nchi husindikizwa na wafuatao apart from team ya watu wake ambao si chini ya watu 30:

Makamu wa Rais na team yake ya watu si chini ya watu 20
Waziri Mkuu na team yake ya watu si chini ya 20
Mkuu wa Usalama wa Taifa na wasaidizi wake si chini ya 10
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na wasaidizi wake si chini ya 8
Mkuu wa majeshi na wasaidizi wake si chini ya 10
Sheikh mkuu wa BAKWATA huyu wa na wapambe wake 3 pamoja na derive
Mkuu wa Wilaya ya Ilala na wapambe wake ambao si chini ya 5
Meya wa Dar es salaam na wapambe wake si chini ya 8
Mkuu wa Polisi wa Kanda na wasaidizi wake si chini ya 8

na wengine wengi ambao siwajui ambao wanatumia gharama za kila namna
 
Apunguze tu,kwanza Tz nchi ya amani.
Hamna haja ya bodigadi
 
Kama anabana matumizi si atangaze ajira za vijana alizositisha au atoe jibu la kueleweka kama amezifuta au zitatilewa lin
 
atuonyeshe salary slip yake kama alivyoahidi,aache blah blah
Wewe umeo yesha ya kwako kabla hujahimiza wengine.

Mshahara na Allowances za Raisi zinaidhinishwa na Bunge, kama unataka kujua malipo ya Raisi wa Tanzania, kamuulize mbunge wako, lazima alijue la sivyo atapata hizo information kikamilifu kwenye office za Bunge.

Tumia uwezo wako wa kupata information uitakayo kitahisi, hii ni kama huna nia nyingine na kutaka kumtusi Raisi wetu.
 
Jpm alishatangaza mshahara wale ck alipokuwa chato je mbowe na lisu walishawahi kutangaza mishahara yao? Wanaogopa sana.
 
Yule sheikh wa mkoa wa Dar wa BAKWATA hata kama hajaalikwa yeye hujialika kwenye events.
Ndivyo unavyojidanganya hivyo unadhani uwepo wake huwa ni wa kujipendekeza??

Tukiwekwa wazi kila jambo hakutakuwa na mtu tutakaye muamini
 
Yule sheikh wa mkoa wa Dar wa BAKWATA hata kama hajaalikwa yeye hujialika kwenye events.
Kweli jamaa hakosekani sana kwenye matukio labda ofisi yake iko karibu na pale. Jana pia nimemuona kwenye tv wakati wale sijui wanaitwa mabora walipoenda kukabidhi cheki za msaada wa tetemeko kule Bukoba.
 
Wewe mkirindi ni mnafiki sana ndio maana unatumia tumbo kufikiri
 
Jpm alishatangaza mshahara wale ck alipokuwa chato je mbowe na lisu walishawahi kutangaza mishahara yao? Wanaogopa sana.
Mbona mishahara yao inaeleweka kwakuwa ni wabunge wanalipwa na serikali
 
Back
Top Bottom