[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Yule sheikh wa mkoa wa Dar wa BAKWATA hata kama hajaalikwa yeye hujialika kwenye events.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Yule sheikh wa mkoa wa Dar wa BAKWATA hata kama hajaalikwa yeye hujialika kwenye events.
atuonyeshe salary slip yake kama alivyoahidi,aache blah blah
mkuu bohora ni dhehebu tu la kiislamu kama ilivyo dhehebu kama protestant kwa wakristo.Kweli jamaa hakosekani sana kwenye matukio labda ofisi yake iko karibu na pale. Jana pia nimemuona kwenye tv wakati wale sijui wanaitwa mabora walipoenda kukabidhi cheki za msaada wa tetemeko kule Bukoba.
Hivi kodi kishaanza kukatwa ?atuonyeshe salary slip yake kama alivyoahidi,aache blah blah
Kwahiyo liko chini ya BAKWATA?mkuu bohora ni dhehebu tu la kiislamu kama ilivyo dhehebu kama protestant kwa wakristo.
Na kwakuwa yeye ni shehe wa mkoa huo,kuonekana hapo kwa mabohora sio ajabu
The word from Magogoni is Kamanda hataki mambo ya waste ya kusindikizwa na na kupokelewa na msururu wa waheshimiwa ambao wanaacha kazi kumsindikiza na kumpokea.
Hoja yake ni kuwa kuna kuwa huu msururu unasababisha utendaji wa kazi wa serikali na maendeleo kwa nchi na jiji la Dar es salaam kutakana na foleni na waste of time kwa watu
On average Kamanda kila aki safiri kwenda au kurudi mikoani au nje ya nchi husindikizwa na wafuatao apart from team ya watu wake ambao si chini ya watu 30:
Makamu wa Rais na team yake ya watu si chini ya watu 20
Waziri Mkuu na team yake ya watu si chini ya 20
Mkuu wa Usalama wa Taifa na wasaidizi wake si chini ya 10
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na wasaidizi wake si chini ya 8
Mkuu wa majeshi na wasaidizi wake si chini ya 10
Sheikh mkuu wa BAKWATA huyu wa na wapambe wake 3 pamoja na derive
ati Sheikh mkuu wa BAKWATA? kwani nae yuko katika protokali ya ikulu? hayo ni mazingaombwe sasa.
kwani nae ni sheikh wa mwendo kasi?Yule sheikh wa mkoa wa Dar wa BAKWATA hata kama hajaalikwa yeye hujialika kwenye events.
mkuu, JPM mwenyewe ndiye aliyeutangazia umma wa watanzania kuwa ataonyesha salary slip yake. ndio maana watu wanasubiri kwa hamu kuiona.Wewe umeo yesha ya kwako kabla hujahimiza wengine.
Mshahara na Allowances za Raisi zinaidhinishwa na Bunge, kama unataka kujua malipo ya Raisi wa Tanzania, kamuulize mbunge wako, lazima alijue la sivyo atapata hizo information kikamilifu kwenye office za Bunge.
Tumia uwezo wako wa kupata information uitakayo kitahisi, hii ni kama huna nia nyingine na kutaka kumtusi Raisi wetu.
Kuna watu wakorofi wallah.Siyo salary slip tu watu sasa wanataka hata Phd yake ihakikiwe kama wanavyohakikiwa watumishi wengine.
Mbowe na Lissu sio lazima watangaze mishahara yao,lakini Urais ni taasisi ya umma na mshahara wake unatokana na kodi za wananchi kwa hiyo lazima kila kitu kiwe wazi.Jpm alishatangaza mshahara wale ck alipokuwa chato je mbowe na lisu walishawahi kutangaza mishahara yao? Wanaogopa sana.
Serikali haiwezi kuajiri kila kijana anayehitaji kazi kudhania hivyo ni kupotoka,wale ambao ajira zilitishwa bila shaka kuna wakati zitaanzishwa tena.Kama anabana matumizi si atangaze ajira za vijana alizositisha au atoe jibu la kueleweka kama amezifuta au zitatilewa lin
We nae ntakuwa kwenye tafiti ya kati ya watzd 4 mmoja ana matatizo ya akili. Mbona mishahara ya wabunge inajulikana pamoja na posho zao?Jpm alishatangaza mshahara wale ck alipokuwa chato je mbowe na lisu walishawahi kutangaza mishahara yao? Wanaogopa sana.