Tetesi: Sasa Magufuli hataki kusindikizwa na kupokelewa na msururu wa watu

Miezi inakatika tangu alipoahidi kuiweka hadharani Mwezi April mwaka huu. Milioni 36 mkuu kuiweka hadharani ni kazi mno! huku akituzuga Watanzania kwamba kuna watu wanaishi kama malaika sasa anataka waishi kama mashetani lakini mwenyewe kauchuna kimya na mshahara wake zaidi ya milioni 400 kwa mwaka huku akilipiwa kila kitu na walipa kodi.

atuonyeshe salary slip yake kama alivyoahidi,aache blah blah
 
umesahau wake zao na team zao za kuwasindikiza
 
Kweli jamaa hakosekani sana kwenye matukio labda ofisi yake iko karibu na pale. Jana pia nimemuona kwenye tv wakati wale sijui wanaitwa mabora walipoenda kukabidhi cheki za msaada wa tetemeko kule Bukoba.
mkuu bohora ni dhehebu tu la kiislamu kama ilivyo dhehebu kama protestant kwa wakristo.

Na kwakuwa yeye ni shehe wa mkoa huo,kuonekana hapo kwa mabohora sio ajabu
 
mkuu bohora ni dhehebu tu la kiislamu kama ilivyo dhehebu kama protestant kwa wakristo.

Na kwakuwa yeye ni shehe wa mkoa huo,kuonekana hapo kwa mabohora sio ajabu
Kwahiyo liko chini ya BAKWATA?
 
 
mkuu, JPM mwenyewe ndiye aliyeutangazia umma wa watanzania kuwa ataonyesha salary slip yake. ndio maana watu wanasubiri kwa hamu kuiona.
 
Jpm alishatangaza mshahara wale ck alipokuwa chato je mbowe na lisu walishawahi kutangaza mishahara yao? Wanaogopa sana.
Mbowe na Lissu sio lazima watangaze mishahara yao,lakini Urais ni taasisi ya umma na mshahara wake unatokana na kodi za wananchi kwa hiyo lazima kila kitu kiwe wazi.
 
Mambo ya msingi hayabadiliki tumebaki kuletewa hoja nyepesi nyepesi tu.
 
Kama anabana matumizi si atangaze ajira za vijana alizositisha au atoe jibu la kueleweka kama amezifuta au zitatilewa lin
Serikali haiwezi kuajiri kila kijana anayehitaji kazi kudhania hivyo ni kupotoka,wale ambao ajira zilitishwa bila shaka kuna wakati zitaanzishwa tena.
 
Mtazidi kuisoma namba tu kadri siku zinavyozidi kusonga. Hapa kazi tu
 
Jpm alishatangaza mshahara wale ck alipokuwa chato je mbowe na lisu walishawahi kutangaza mishahara yao? Wanaogopa sana.
We nae ntakuwa kwenye tafiti ya kati ya watzd 4 mmoja ana matatizo ya akili. Mbona mishahara ya wabunge inajulikana pamoja na posho zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…