go back to school jackass!!!Mbowe sindio bwanawako anayekula ruzuku ya chama. Hata ukitoa povu la kiwango cha omo bado hujajb swali bwana wako mbowe kashawahi kuonyesha salary sleep anayokula ruzuku ya chama?
Yule sheikh wa mkoa wa Dar wa BAKWATA hata kama hajaalikwa yeye hujialika kwenye events.
Hapo na mimi sijaelewa. Kwani BAKWATA ni idara ya serikali?!
Well said mkuu yaani huo ni wivu wa dhahiri kabisa ,roho zinawauma sana hawa majamaaSisi Bakwata tumesakamwa sana hasa baada ya Makonda kutupatia fedha!
Na Magu kutujengea msikiti!
Hatuwezi vumilia wivu,na. nyie upande wa pili si mngemwomba kikwete awajengee kanisa kubwa