Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Kaa kwa kutulia ndugu yangu.Daaa nani kakesha kuifuatilia nn hassa
Kuwa mtulivu ndugu yangu. Kazi ni Nzito kwelikweli na siyo Nyepesi kama unavyofikiria. Embu Fikiria Mama yetu Mpendwa Amekesha siku mbili mfululizo Bila kupata hata muda wa kulala kwa sababu ya kuongoza vikao hivyo vizito na vyenye kutoa muelekeo na mstakabari wa Taifa letu.Mna ujinga mwingi sana. Sasa usiku mzima mlikuwa mnafanya nini??
Saaa TAHIRA WA MAMA.Ndugu zangu Watanzania,
Poleni sana kwa kukesha mkiwa macho. Hongereni kwa kuendelea kuwa na imani na CCM,asanteni kwa kuendelea kutambua ya kuwa CCM ndio chama kilichobeba matumaini yenu ,mstakabari wa Maisha yenu ,kesho ya watoto wenu,Maisha ya wajukuu zenu na Uhai wa Taifa letu. Kwa hakika CCM imeonyesha ni zaidi ya chama ,ni zaidi ya Imani .imeonyesha Ukumbwa Wake kwa Taifa letu.
Nawashukuru kwa kuendelea kutambua ya kuwa CCM ndio chama pekee chenye kutoa uongozi imara na wenye matumaini hapa Nchini. Najua na chama kinajua na kutambua ya kuwa Taifa limekesha likiwa macho usiku kucha huku macho na masikio yakielekezwa Dodoma kusikiliza na kuwajua wagombea waliopitishwa na CCM.
Chama kinajua kilitakiwa kutangaza majina hayo siku ya jana lakini haikuweza kufanikiwa kutimiza jambo hilo. Hii ni kutokana na uzito na unyeti wa jambo hilo na shughuli nzito inayoendelea mkoani Dodoma. Wagombea ni wengi sana ,waliochukua na kurejesha Fomu ni wengi sana. Kila mmoja akiwa anataka kupata uteuzi wa chama ili kwenda kuwatumikia watanzania.
Jambo ambalo limekipa chama na vikao vyake kazi kubwa na nzito ya kufanya uchujaji kwa umakini mkubwa sana katika kuhakikisha kinawaletea watanzania watu sahihi na wenye uwezo ,dhamira , uzalendo, ushawishi na kukubalika kwa watu. Lakini kubwa ni kuwa chama kinataka kuona haki ikitendeka na watu sahihi wakipatikana kwa haki kabisa bila Mawaa ili kuondoa malalamiko.
Hivyo basi baada ya kushindikana kwa siku ya jana kukata kiu ya watanzania. Ni kuwa Leo hii majira ya saa nne asubuhi chama kupitia msemaji wake Mkuu Mwamba Mwenyewe Msomi kwelikweli na nguli wa mahesabu na uhasibu CPA Amos Makalla atakuwa live mbele ya macho ya Dunia mbele ya waandishi wa habari kuwatangazieni Majina ya wagombea wote ambao wamepitishwa.
Kwa hiyo endeleeni kuwa wavumilivu,wenye subira ,utulivu kusubiri muda huo ambao Nchi nzima inakwenda kusimama. CCM ndio chama chenye kutoa muelekeo na mstakabari wa Taifa letu. Naweni na pateni kifungua kinywa mtulie mbele ya Tv zenu au kwa majirani wenye Tv.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
CHADEMA ndio muda wote wapo makini kwelikweli kusubiri wagombea. Hata CHADEMA yenyewe imeonyesha kuwa na imani kubwa sana na CCM na kuamini kuwa CCM ndio chama pekee chenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu.Bila kuwa mnafiki,wagombea wanasubiriwa kwa kiu kubwa kabisa,na watanzania wote,hata chadema wana subiria pia kuhusu hili,(unafiki tuweke pembeni)
Kinachosubiliwa ni mishiko yao, hiyo ni code nakupa.Bila kuwa mnafiki,wagombea wanasubiriwa kwa kiu kubwa kabisa,na watanzania wote,hata chadema wana subiria pia kuhusu hili,(unafiki tuweke pembeni)
Hiki ni chama gani cha siasa?Saaa TAHIRA WA MAMA.
View attachment 3422530
Duh.!Ndugu zangu Watanzania,
Poleni sana kwa kukesha mkiwa macho. Hongereni kwa kuendelea kuwa na imani na CCM,asanteni kwa kuendelea kutambua ya kuwa CCM ndio chama kilichobeba matumaini yenu ,mstakabari wa Maisha yenu ,kesho ya watoto wenu,Maisha ya wajukuu zenu na Uhai wa Taifa letu. Kwa hakika CCM imeonyesha ni zaidi ya chama ,ni zaidi ya Imani .imeonyesha Ukumbwa Wake kwa Taifa letu.
Nawashukuru kwa kuendelea kutambua ya kuwa CCM ndio chama pekee chenye kutoa uongozi imara na wenye matumaini hapa Nchini. Najua na chama kinajua na kutambua ya kuwa Taifa limekesha likiwa macho usiku kucha huku macho na masikio yakielekezwa Dodoma kusikiliza na kuwajua wagombea waliopitishwa na CCM.
Chama kinajua kilitakiwa kutangaza majina hayo siku ya jana lakini haikuweza kufanikiwa kutimiza jambo hilo. Hii ni kutokana na uzito na unyeti wa jambo hilo na shughuli nzito inayoendelea mkoani Dodoma. Wagombea ni wengi sana ,waliochukua na kurejesha Fomu ni wengi sana. Kila mmoja akiwa anataka kupata uteuzi wa chama ili kwenda kuwatumikia watanzania.
Jambo ambalo limekipa chama na vikao vyake kazi kubwa na nzito ya kufanya uchujaji kwa umakini mkubwa sana katika kuhakikisha kinawaletea watanzania watu sahihi na wenye uwezo ,dhamira , uzalendo, ushawishi na kukubalika kwa watu. Lakini kubwa ni kuwa chama kinataka kuona haki ikitendeka na watu sahihi wakipatikana kwa haki kabisa bila Mawaa ili kuondoa malalamiko.
Hivyo basi baada ya kushindikana kwa siku ya jana kukata kiu ya watanzania. Ni kuwa Leo hii majira ya saa nne asubuhi chama kupitia msemaji wake Mkuu Mwamba Mwenyewe Msomi kwelikweli na nguli wa mahesabu na uhasibu CPA Amos Makalla atakuwa live mbele ya macho ya Dunia mbele ya waandishi wa habari kuwatangazieni Majina ya wagombea wote ambao wamepitishwa.
Kwa hiyo endeleeni kuwa wavumilivu,wenye subira ,utulivu kusubiri muda huo ambao Nchi nzima inakwenda kusimama. CCM ndio chama chenye kutoa muelekeo na mstakabari wa Taifa letu. Naweni na pateni kifungua kinywa mtulie mbele ya Tv zenu au kwa majirani wenye Tv.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Pigeni kelele dhidi ya watoto wa Palestine'sSaaa TAHIRA WA MAMA.
View attachment 3422530
Eeh niambie mchujo wa ubunge na udiwani ukoje kule kwa watani zangu bukoba??Kuwa mtulivu ndugu yangu. Kazi ni Nzito kwelikweli na siyo Nyepesi kama unavyofikiria. Embu Fikiria Mama yetu Mpendwa Amekesha siku mbili mfululizo Bila kupata hata muda wa kulala kwa sababu ya kuongoza vikao hivyo vizito na vyenye kutoa muelekeo na mstakabari wa Taifa letu.
Anaumwa usimlaumuHakuna mtu wa kukesha usitujazie server
Umekesha mwenyewe mbulukenge mkubwa.Ndugu zangu Watanzania,
Poleni sana kwa kukesha mkiwa macho. Hongereni kwa kuendelea kuwa na imani na CCM,asanteni kwa kuendelea kutambua ya kuwa CCM ndio chama kilichobeba matumaini yenu ,mstakabari wa Maisha yenu ,kesho ya watoto wenu,Maisha ya wajukuu zenu na Uhai wa Taifa letu. Kwa hakika CCM imeonyesha ni zaidi ya chama ,ni zaidi ya Imani .imeonyesha Ukumbwa Wake kwa Taifa letu.
Nawashukuru kwa kuendelea kutambua ya kuwa CCM ndio chama pekee chenye kutoa uongozi imara na wenye matumaini hapa Nchini. Najua na chama kinajua na kutambua ya kuwa Taifa limekesha likiwa macho usiku kucha huku macho na masikio yakielekezwa Dodoma kusikiliza na kuwajua wagombea waliopitishwa na CCM.
Chama kinajua kilitakiwa kutangaza majina hayo siku ya jana lakini haikuweza kufanikiwa kutimiza jambo hilo. Hii ni kutokana na uzito na unyeti wa jambo hilo na shughuli nzito inayoendelea mkoani Dodoma. Wagombea ni wengi sana ,waliochukua na kurejesha Fomu ni wengi sana. Kila mmoja akiwa anataka kupata uteuzi wa chama ili kwenda kuwatumikia watanzania.
Jambo ambalo limekipa chama na vikao vyake kazi kubwa na nzito ya kufanya uchujaji kwa umakini mkubwa sana katika kuhakikisha kinawaletea watanzania watu sahihi na wenye uwezo ,dhamira , uzalendo, ushawishi na kukubalika kwa watu. Lakini kubwa ni kuwa chama kinataka kuona haki ikitendeka na watu sahihi wakipatikana kwa haki kabisa bila Mawaa ili kuondoa malalamiko.
Hivyo basi baada ya kushindikana kwa siku ya jana kukata kiu ya watanzania. Ni kuwa Leo hii majira ya saa nne asubuhi chama kupitia msemaji wake Mkuu Mwamba Mwenyewe Msomi kwelikweli na nguli wa mahesabu na uhasibu CPA Amos Makalla atakuwa live mbele ya macho ya Dunia mbele ya waandishi wa habari kuwatangazieni Majina ya wagombea wote ambao wamepitishwa.
Kwa hiyo endeleeni kuwa wavumilivu,wenye subira ,utulivu kusubiri muda huo ambao Nchi nzima inakwenda kusimama. CCM ndio chama chenye kutoa muelekeo na mstakabari wa Taifa letu. Naweni na pateni kifungua kinywa mtulie mbele ya Tv zenu au kwa majirani wenye Tv.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hii sentensi Ina maneno 46. Ni sentensi ndefu sana na inaweza kuwababaisha wasomaji wa sentensi hiyo. Kwa hiyo, jitahidi kuandika sentensi fupi fupi, zenye maneno yasiyozid 25. Pia hakikisha sentensi hiyo fupi iwe na ujumbe mmoja unaojitisheleza. Hii itasaidia uandishi wako kuwa wakuvutia zaidi.. Ni kuwa Leo hii majira ya saa nne asubuhi chama kupitia msemaji wake Mkuu Mwamba Mwenyewe Msomi kwelikweli na nguli wa mahesabu na uhasibu CPA Amos Makalla atakuwa live mbele ya macho ya Dunia mbele ya waandishi wa habari kuwatangazieni Majina ya wagombea wote ambao wamepitishwa