GE2025 Sasa mkutano wa kutangaza wagombea kufanyika saa Nne asubuhi ya Julai 29, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wewe vipi Mwashambwa Bado uko mashamba!
 
Nani afatilie huo upuuzi!??
 
Jinga wewe. Kujipa tu umuhimu kumbe na wewe ni tapeli tu kwenye Kolido za Lumumba hapo.

Kenge Mkubwa
 
Waandishi wa habari wamekesha ukumbini wakisubiri MAKALA aendelee na kikao hadi sasa bila bila. Kikao kimeahirishwa hadi saa 4 asbh ya leo.😂😂😂😂
Saa hizi saa 6 hamna kitu, msiwachukulie serious hao wahuni.

No reform no election.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…