Sasa mmeleewa kuwa uzee na usomi sio heshima na hekima, heshima ni utu, hekima ni uwajibikaji.

Iko siku hata wapagani watakuja kupiga magoti mbele za Mungu kumwomba awarehemu.Inakuaje msomi anatengeneza silaha za kuañgamiza wenzake na yeye mwenyewe? Kama sheria hazifanyi kazi,basi ni kweli amri za Mungu ndiyo mwarobaini was shida zinazomkabili binadamu hivi sasa.Siyo elimu,UN, OAU nk.Jinsi idadi ya wasomi ikiongezeka ndivyo haki na amani inavyotoweka.
 
🚮
 
Ndio maana sio Kila Mzee wa kumzingatia, wazee wengine ni wa kuachana nao au tuseme kuwapuuza, ni sawa na kuomba ushauri wa kuwa tajiri Kwa mtu ambaye hajawahi hata kuuza bidhaa ya Mia mbili.
 
ila mama yako ni mtamu sana kaka😉, ulipitia patamu sana
🇺🇸🇮🇱
 
Oya vipi wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…