Zainab j
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,817
- 2,362
mi nishaacha sasaivi nimekuwa Top wakoNimerithi Kwako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi nishaacha sasaivi nimekuwa Top wakoNimerithi Kwako.
Tulia weeeweeeee vurugu ni muhimu kuchangamsha nchiUshawahi kuchanga hata mara moja? Mnapenda aana kupiga kelele mara ooo Mo atuachie timu yetu anatuibia mmeachiwa sasa iendeaheni kwa kushirikiana na Kigwa
Kweli aiseeee,tumfukuze nini?Ndo ameanza kurara mbere.Waulize Mbagara market ama Africa Lyon na Singida united.
Asante sanaIla siyo Siri Mo Dewji kwa sasa wala nisikufiche unazingua na unatuzingua sana tu wana Simba SC hasa kupitia hicho Kifidodido chako CEO Barbara Gonzalez.
Hivi Wewe Mo Dewji kama kweli Mzigo wa 20 Billion upo na uliuweka Simba SC ndiyo tushindwe kweli kutoa Tsh Milioni 800 kwa Victor Adebayor, Tsh Milioni 550 kwa Stephane Aziz K na Tsh Milioni 450 kwa Ceaser Lobi Manzoki?
Sikupangii Matumizi ya Pesa ( Fedha ) zako za Utajiri wa Kurithi kutoka kwa Baba yako Mzazi Mzee Ghullum ila kama kweli hivi sasa umeamua Kugeukia Kupromoti Ndondi ( Ngumi ) kwanini usingeanza na walioonyesha nia wakiwa Zanzibar Bondia Okra Magic ( Ghana ) na Bondia Dejan Mzungu ( Serbia ) halafu Bondia Wafula Chebukati na Bondia Raila Odinga kisha Utupromoti Mabondia GENTAMYCINE ( Rwanda ) na Bila bila ( Tanzania ) ila umechagua Kuanza na Wengine tu?
Mo Dewji unatuzingua hatukuelewi.
Mbona wewe kwenu hakuna mali za kusimamia?Utamlaumu MO Bure, Yale makampuni si yake yeye ni msimamizi wa Mali za familia. Yeye mwenyewe analipwa mshahara, MO kama kuisaidia Simba ameisaidia sana anacho kifanya kwasasa ni biashara Simba ipate na yeye apate.
Kwakua yeye ni mfanyabiashara ameamua apanue wigo katika michezo mingine Ili atangaze biashara zake na afaidike na izo promotion uku aki saidia kuinua boxing [emoji3037] na vipaji Kwa ujumla.
Nyinyi SSC ni wajinga sana ,kwanini mnapenda kulalamika mitandaoni , si muende mkachukue timu yenu. Sasa mnamlilia nani hukuwana simba hapa tumepigwa bora tuchukue team wenyewe tuchangishane si unaona yanga sasa hivi wanavyoogelea manoi hakuna hata mchezaji anayedai hela, wachezaji wamesajiliwa kwa mamilioni ya pesa wote wamevunjiwa mikataba hamna cha ubahili kwa Gharib yule ndo tajiri sasa siyo za urithi