Sasa Mrisho Gambo yuko katika mstari wa mbele katika foleni ya kula chakula cha sumu alichowapikia na kuwalisha wenzake-fitna, ukiua kwa upanga!

Namuomba kama inawezekana akuroge na wewe kabisa maana umekuwa kero sana kwa watu.
Waombe wale wapuuzi wenzio wanaogombana kila siku kule arusha wawatumikie kwanza wananchi badala ya kuleta VIROJA kila siku. Sawa sawa
 
Ila ccm kwa fitina, husuda, wivi, uchawi, kijicho nk, hamjambo. kwahiyo sasa mmeamua kumsonga Gambo kama muwa, hadi mhakikishe amebaki kuwa tindi ndo mumtupe kama Ndugai kwenye uspika.
 
Yaani huja kosea kabisa. Ukiua kwa upanga nawe uta uwawa kwa upanga.
Gambo akiwa mkuu wa wilaya ya Arusha alimchongea Rc mmoja mstaarabu sana ambae ali ifanya Arusha ikawa kimya. Figusi za Gamba mzee wa watu aka rudishwa kitengo.
Gambo akiwa Rc alikuwa hampi Lema pumzi, mara akaagize Lema awekwe mahabusu mara Azuie mikutano ya Lema mara miradi aliyo tafuta wafadhili Lema Gambo aseme ni yeye, yaani balaa tupu.
Karma brother haija muaxha mtu salama, haya Gambo anayo pitia wala simuonei huruma acha ale malipo yake..
 
Ndioo
 
Mbona Gambo ni mkarimu na mnyenyekevu sana! wanaomsema vibaya ni wale waliokodiwa na kufanya Maigizo.
 
Ubaya haulipi,wema unadumu hata kizazi hadi kizazi!Mungu hazihakiwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…