Sasa Mrisho Gambo yuko katika mstari wa mbele katika foleni ya kula chakula cha sumu alichowapikia na kuwalisha wenzake-fitna, ukiua kwa upanga!

Namuomba kama inawezekana akuroge na wewe kabisa maana umekuwa kero sana kwa watu.
Waombe wale wapuuzi wenzio wanaogombana kila siku kule arusha wawatumikie kwanza wananchi badala ya kuleta VIROJA kila siku. Sawa sawa
 
Ila ccm kwa fitina, husuda, wivi, uchawi, kijicho nk, hamjambo. kwahiyo sasa mmeamua kumsonga Gambo kama muwa, hadi mhakikishe amebaki kuwa tindi ndo mumtupe kama Ndugai kwenye uspika.
 
Mrisho Gambo sasa anatakiwa kula chakula alichowalisha wenzake kwa muda mrefu sana, chakula chenye sumu ya fitna. Katika foleni, hakuna aliyebaki isipokuwa ni yeye, na mgawa chakula anamuangalia using kwa macho pima akiwa na upawa uliojaa chakula, gambo akiwa na sahani yake mbele ya mgawa chakula.

Katika utumishi wake Gambo kaumiza watu kwa staili yale ya siasa za uongo na fitna. Katika barabara ambayo hakujua kama ataelekezwa arudi kuipitia, alijaza miiba mingi ambayo sasa analazimika kuikanyaga ili apite.

Kakutana na Mkuu wa Mkoa-Makonda ambaye pia fitna ni sehemu ya siasa zake, na anaweza kumchekecha vilivyo na asikemewe. Je kama Mkuu anajua mambo ya ndani ya mpango wa chama kwamba kinaweza na kiliweza kuishi bila Arusha, wakamuachia yule mkimbizi ajiponye kiuchumi? Mbona chama kiliishi bila Mbeya, Iringa na Arusha? Seuze 2025-2030

Ila kwanza Gambo akionje kikombe alichowaonjesha wenzake enzi akiwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, na baadae Mkuu wa Mkoa wa Arusha, na baadae mbunge wa Arusha.

Ushauri wangu kwake, aanze kuondoa vitu vyake binafsi pale ofisi ya mbunge, na aanze diary rasmi ya kuwaaga wana Arusha.
Yaani huja kosea kabisa. Ukiua kwa upanga nawe uta uwawa kwa upanga.
Gambo akiwa mkuu wa wilaya ya Arusha alimchongea Rc mmoja mstaarabu sana ambae ali ifanya Arusha ikawa kimya. Figusi za Gamba mzee wa watu aka rudishwa kitengo.
Gambo akiwa Rc alikuwa hampi Lema pumzi, mara akaagize Lema awekwe mahabusu mara Azuie mikutano ya Lema mara miradi aliyo tafuta wafadhili Lema Gambo aseme ni yeye, yaani balaa tupu.
Karma brother haija muaxha mtu salama, haya Gambo anayo pitia wala simuonei huruma acha ale malipo yake..
 
Ndioo
 
Mbona Gambo ni mkarimu na mnyenyekevu sana! wanaomsema vibaya ni wale waliokodiwa na kufanya Maigizo.
 
Mrisho Gambo sasa anatakiwa kula chakula alichowalisha wenzake kwa muda mrefu sana, chakula chenye sumu ya fitna. Katika foleni, hakuna aliyebaki isipokuwa ni yeye, na mgawa chakula anamuangalia usoni kwa macho pima akiwa na upawa uliojaa chakula, gambo akiwa na sahani yake mbele ya mgawa chakula.

Katika utumishi wake Gambo kaumiza watu kwa staili yale ya siasa za uongo na fitna. Katika barabara ambayo hakujua kama ataelekezwa arudi kuipitia, alijaza miiba mingi ambayo sasa analazimika kuikanyaga ili apite.

Kakutana na Mkuu wa Mkoa-Makonda ambaye pia fitna ni sehemu ya siasa zake, na anaweza kumchekecha vilivyo na asikemewe. Je kama Mkuu anajua mambo ya ndani ya mpango wa chama kwamba kinaweza na kiliweza kuishi bila Arusha, wakamuachia yule mkimbizi ajiponye kiuchumi? Mbona chama kiliishi bila Mbeya, Iringa na Arusha? Seuze 2025-2030

Ila kwanza Gambo akionje kikombe alichowaonjesha wenzake enzi akiwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, na baadae Mkuu wa Mkoa wa Arusha, na baadae mbunge wa Arusha.

Ushauri wangu kwake, aanze kuondoa vitu vyake binafsi pale ofisi ya mbunge, na aanze safari rasmi ya kuwaaga wana Arusha.
Ubaya haulipi,wema unadumu hata kizazi hadi kizazi!Mungu hazihakiwi.
 
Back
Top Bottom